The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hatujatengeneza nafasi za kutosha, hakuna fluidity niliyoitegemea, wings zimepoa timu ime revolve around Kdb ambaye naye hajapata space ya kutosha kufanya miujiza yake.

Mpaka sasa defensive structure ya everton imewin.
 
Mtu kama kovacic inabidi aingie sababu ya uwezo wake mkubwa wa kupiga progressive passes, Gundogan kazubaa mno.
 
Tunavyozidi kualika mashambulizi ni swala la muda tu tunatoboka.
 
Gvardiol na dias wamekuwa na maelewano mazuri, hope hii patnership itatubeba kwa mechi hizi zilizobaki
 
Back
Top Bottom