The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

IMG-20250423-WA0001.jpg
 

Attachments

  • IMG-20250423-WA0001.jpg
    IMG-20250423-WA0001.jpg
    682.2 KB · Views: 4
Alichokifanya Doku jana ndicho world class players hufanya.

Akiwa vizuri kwenye kutoa assists kama jana na kufunga hapa tuna beast of a winger.
 
Diogo Costa, kipa wa porto ameikubali project ya City na yupo tayari kujiunga.

Majadiliano baina ya vilabu yanaendelea.
 
Agent wa Costa ni rafiki mkubwa wa Hugo Viana ambaye ni Football Director mpya wa City.

Ana push deal likamilike.
 
Toka international break iishe, tumecheza game sita, tumeshinda 5 na draw 1.

Ndani ya hizo mechi, pep amekuja na strategy ya kutumia box midfield.

Katika hii system, fullbacks ndio wanaenda kuwa wings (kikawaida fullbacks wa pep huwa wanaingia katikati badala ya kupandisha juu).

Matumizi ya viungo 4 yanafanya timu ikose depth pembeni, na hapo ndipo fullbacks wanaenda ku cover.

Kwa system hii, stability na control ya timu vimeongezeka sababu ya Numerical Superiority pale katikati.
 
Nikasema nijizime data leo niangalie mpira wa Afrika (Simba)

Aiseeee! wanaokaa dakika 90 kuangalia hii kitu wana mioyo, kama naangalia chandimu vile.
 
Back
Top Bottom