The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Dah! 😅
Oya poleni kwahiyo tunakula mshkaki kurudi kwetu pamoja!! 😂😂😂😂
 
😂😂 Mbona wacheka
Hii imejirudia km majuzi liver alivyonyooshwa halafu baadae naye Arsenal akachezea vitasa 🤣🤣🤣🤣🤣

Sema nini city mmekufa kiume wanetu 🤣🤣🤣🤣
 
Tumepambana kiume lakini tumetola kizembe sana.

Hii game haikua ya kwenda matuta, a lot of shots with zero output.

Pili tumefungwa voli la kininga na kipuuxi kabisa ambalo hatukutakiwa kufungwa.

Sisi wenyewe tumeifanya game iwe ngumu.
Mliwazidi Madrid kila kitu
 
Back
Top Bottom