hallaa madrid, pole mtaniHapanaaa!!!!
Cocacola vipi mwanangu gesi nyingi?? 🤣🤣🤣Tumetolewaaaaaa!!
Sikua na imani kwenye penalt kabisaa.hallaa madrid, pole mtani
Vipi nimwambie boda aondoke 😂😂😂Sikua na imani kwenye penalt kabisaa.
Cocacola vipi mwanangu gesi nyingi??![]()



tukalale sasa, bora ingebaki bao lile la dk 90, kuliko penalty zinauma.🤣🤣🤣🤣Ouky mwendo tumeumaliza, tukutane msimu ujao.