cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,299
Coca ntakupasua ujue![]()



uduguu bora ukalalee, mwenzio hapa 1 haikai na 2 haisimamii, hata sielewiii.Coca ntakupasua ujue![]()



uduguu bora ukalalee, mwenzio hapa 1 haikai na 2 haisimamii, hata sielewiii.Nilale mechi imeisha kwani 😂😂😂uduguu bora ukalalee, mwenzio hapa 1 haikai na 2 haisimamii, hata sielewiii.
Bellingham kapigwa chenga moja na Silva Hana hamu naye hata kumfuata hamfuati anamuangalia ahahaha





Naombaa ututolee balaa lako hapa,Nilale mechi imeisha kwani
Nawasubiri nione km na nyie baba Jane bye bye au vipi??





Baba Jane 👋Naombaa ututolee balaa lako hapa,![]()
Toa nuksi na balaa hapa, khaaaahhuyu Rudger angekuwa makini ungekuta City ameshakalia kuti kavu
mkipita psg anawasubir final uko



yaan tukipita hapa, Kwapa tunanyanyua tenaa.sometimes football isn't fair ndicho wanachokiona huko leoHii mshinde tu aisee. Ili mpira uwe fair.
Ww lazima tupande mshkaki kurudi England 🤣🤣🤣🤣Tokaa hapa![]()
raha ya mchezo ni kuona magoli yakifungwa mkuuToa nuksi na balaa hapa, khaaaah