cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,299
😂😂😂😂Eeeh Jah awe upande wetu wana wa Etihad!!!
Inabidi kuwabatua mabao chap chap, afu wabaki kupaki bus lao vzuri.Hawa Madrid wanapaki bus hatari ...
Real Madrid 6 shots
Man city 21 shots
😂😂😂😂 Mtakufa safari hiiEm kwendraaa huko,![]()
Arsenal wameniumiza ila wananchi walau wananipoza machungu kwa kuyapiga makolo tar 20 😂😂😂Uduguu una nn wee? Tokaa hapa?
![]()
Arsenal wameniumiza ila wananchi walau wananipoza machungu kwa kuyapiga makolo tar 20![]()



arsenyetoo itakutesa sana na badooo.😂😂😂😂 udugu nakuonea huruma sana tar 20 usikimbie tyuuu!!arsenyetoo itakutesa sana na badooo.
Huko kwa majini FC utasanda wewee.
😂 nacheka lakin naogopaHalf cast koko,![]()
udugu nakuonea huruma sana tar 20 usikimbie tyuuu!!



em tulizana, ushatolewa UCL, nguvu ya kubaki humu unapata wapiii? KalaleeeKwender 😂😂😂😂😂em tulizana, ushatolewa UCL, nguvu ya kubaki humu unapata wapiii? Kalaleee
Coca ntakupasua ujue 😂😂😂😂