fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,497
- 27,761
mtatoka tuKomaaaa wee
mtatoka tuKomaaaa wee
Ko wanaenda extra time?Hakuna goli la ugenini huku
Tutoleee balaa na nuksi lako hapa. Mxxxiiiiiieeeeewmtatoka tu
Kwamba atoke nani sasa?Issue sio ukubwa wa mechi issue ni kutekeleza majukumu vyema uwanjani dogo anaujua mpira
😂😂😂😂 Arsenal kule baba Jane 👋
Thubutu 🤣🤣🤣🤣The citizens watulie na wafunge mabao chap chap.
Watufurahishe fans wao, woiiiiih
acha makasiriko vini jr atawalaza na viatu dkk za jioniii 😂😂Tutoleee balaa na nuksi lako hapa. Mxxxiiiiiieeeeew
Ikiisha sare ni extra timeKo wanaenda extra time?
Em kwendraa huko nawee,acha makasiriko vini jr atawalaza na viatu dkk za jioniii![]()




😣 nakomaje😂😂😂🤣 hasira hizo jirani
Eeeh Jah awe upande wetu wana wa Etihad!!!Ikiisha sare ni extra time
😂😂😂😂 Na bado tar 20 utaumwa uduguUduguu nitoleee balaa lako hapa![]()
unawaza mabao tu 😂City anaenda Semi final, mabao ya ugenini.