The Man Next Door

Wee bana sisi tumeshakua wadau muhimu kwenye hii situeshenship yenyu kwahiyo unawiwa kutupa updates kila hatua..

Na kama umeshasoma upepo hapa ni kwamba wengi tupo upande wa jirani ๐Ÿคฃ Kila hatua anayopiga kuikaribia nchi ya ahadi kwetu ni ushindi mkubwa.....!!

Haya, hebu tuambie ni hatua gani hiyo mpya amepiga? Usituache gizani watu tunashindwa kupata usingizi......๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Aaahahahahahaaa yaaani kama jirani yuko humu mtafanya bichwa lake livimbe looh๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ.

Well the step ahead was, jirani jana alikaa kwenye korido anasubiri nirudi kazini.....

Namsalimia, akaomba simu yangu akaji flush namba yake.......! So he has my number...

All these time tuko majirani wala hatukuwa tunafahamiana namba zetu na hatukuwa na desturi ya kubadili ana kwa simu.

We lightly chat yesterday night and off I was taken away by the sleep ๐Ÿ˜ด.

So far so good, leo nimekaza asije leta mambo ya masihara ....๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ
 
Ukiona comments hazijibiwi yawezakana hatua aliyopiga jirani Ni kubwa
Kuna atakua Yuko anafinyiwa kwa ndani mda huu

Hapana jamaniii....

Usingizi ilinipitia nikalala foofoofooo kama katoto kachanga ๐Ÿ˜‹.

Nilikuwa salama kabisa...๐Ÿ˜Š.
 
Ulisema mwenyewe kuwa una genye..acha jirani afanye mambo..unajibana bana ili iwe nini Kasie binti mahaba?


Aaahahahahaa ni kweli zimejaa pomoni ila sirihusu zitolewe kirahisi rahisi bin masihara....

Naibana bana nije kuisherehekea vizuri kwenye klismasi...๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜…
 
Aaahahahahahaaa yaaani kama jirani yuko humu mtafanya bichwa lake livimbe looh๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ.

Well the step ahead was, jirani jana alikaa kwenye korido anasubiri nirudi kazini.....

Namsalimia, akaomba simu yangu akaji flush namba yake.......! So he has my number...

All these time tuko majirani wala hatukuwa tunafahamiana namba zetu na hatukuwa na desturi ya kubadili ana kwa simu.

We lightly chat yesterday night and off I was taken away by the sleep ๐Ÿ˜ด.

So far so good, leo nimekaza asije leta mambo ya masihara ....๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ

Yaani mapenzi bana.. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ mnavyoviziana utadhani vitoto vya sekondari. Eti apo utakuta jamaa nae anapanga viji strategy vya jinsi ya kukuingia, na wewe unapanga viji mbinu vya kumkazia ili asikupate kirahisi..๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Wakati sisi wote hapa tunajua mwisho wa siku kitakachotokea ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Hi everyone,

I hope you have a bright Sunday, Super weekend na nini na nini hata kama mambo yako ndivyo sivyo, have faith itโ€™ll come your way just work hard.

Sasa bana, huku nnakoishi uswazi, mlango wa kuingia kwangu unatizamana na mlango wa jirani yangu ambaye huwa hatuonani kutokana na shughuli zake. Anatoka alfajiri sijui anarudigi saa ngapi, siku tukibahatika tunakutana kwenye korido au getini aidha yeye anaingia mie natoka ama yeye anatoka mie naingia.


Jirani huyu tunashea kamba za kuanikia nguo kiasi kwamba siku akifua yeye basi nasubiri hadi aanue nguo zake nami ndo nifue. Na maisha yetu yameenda hivyo kwa kitambo bila kukwaruzana.


Wiki la juzi nimerudi kutoka kwenye shughuli zangu nshakula sasa niko mezani napanga mambo ya kesho yake na kurudisha jumbe na simu za siku nzima. Mishale ya saa tano na nusu hivi nasikia jirani anafungua milango anafunga.


Mara paaap nasikia mlango wangu unagongwa, khaaaa. Niliogopaaa nikasema usiku huu nikimfungulia itakuwaje, what if... what if.... what if. Mie mwanamke ujue halafu.


Akili yangu ikanizidi akili nikanyanyuka kwenye kiti kwa kunyata nikaenda chumbani kimya kimya bila hata kuzima taa na sendoz zangu za ndani niliziacha mezani.
Huo usiku ukapita bila kujua alitaka kunisemesha nini.

Ila msema kweli mpenz wa Mungu, acha niseme ukweli. Sikuidhulumu nafsi yangu ila najijua nilikuwa na minyege usiku ule ningefungua mlango walaah angenikula kirahisi sanaaa.

Sasa acha nisimulie kilichotokea jana usiku...

Mapema tuu niko nyumbani nakarangiza kwenye saa moja na nusu hivi nasikia hodi kufungua jirani. Nikamkaribisha ila hakuingia ndani akasema nitoke nje tukaanza maongezi kwenye korido.

Khaa...! Saa nzima ikakatika hapo tumesimama ni alfu lela ulela, nikajistukia narembua sana macho. Nikamkatisha samahani muda wangu wa kupata mlo wa usiku unapita karibu tukae wote mezani. Akasema hapana niendelee yeye akatoka kwenda kitaani.

Nikajifungia ndani kwangu nikala nikaosha vyombo usiku mzima ananijia akilini.....yaani namuwazaaa

Sitaki kumuelezea namna alivyo siajabu yuko humu, ila sitaki kuharibu ujirani wetu.

Eeehh maisha haya, bora nifikishe miaka 60 niache nyegee....

The Man Next Door is Senior Bachelor just like Granny Kasie .

Kasie Mahaba.
Mpe tu jirani akupelekee moto, maana kwa sasa wanaume tumekuwa na mbinu nyingi mno za kula mbususu kimasihara.
 
Mpe tu jirani akupelekee moto, maana kwa sasa wanaume tumekuwa na mbinu nyingi mno za kula mbususu kimasihara.

Weeeh hata simpi, ataimaliza mbususu yangu huyujirani anaonekana ana kiwi sana....๐Ÿ˜œ
 
Yaani mapenzi bana.. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ mnavyoviziana utadhani vitoto vya sekondari. Eti apo utakuta jamaa nae anapanga viji strategy vya jinsi ya kukuingia, na wewe unapanga viji mbinu vya kumkazia ili asikupate kirahisi..๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Wakati sisi wote hapa tunajua mwisho wa siku ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Yaani hata ikitokea....

Iwe Desemba hukoo tukiwa tunasherehekea sikukuu ya krismasi na mwaka mpya.

Saa hizi nambania kwanza, na hili baridi nikimlegezea tuu nimeliwa...๐Ÿ˜….
 
Yaani mapenzi bana.. mnavyoviziana utadhani vitoto vya sekondari. Eti apo utakuta jamaa nae anapanga viji strategy vya jinsi ya kukuingia, na wewe unapanga viji mbinu vya kumkazia ili asikupate kirahisi.. Wakati sisi wote hapa tunajua mwisho wa siku kitakachotokea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom