The Man Next Door

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
18,931
2,000
Hi everyone,

I hope you have a bright Sunday, Super weekend na nini na nini hata kama mambo yako ndivyo sivyo, have faith it’ll come your way just work hard.

Sasa bana, huku nnakoishi uswazi, mlango wa kuingia kwangu unatizamana na mlango wa jirani yangu ambaye huwa hatuonani kutokana na shughuli zake. Anatoka alfajiri sijui anarudigi saa ngapi, siku tukibahatika tunakutana kwenye korido au getini aidha yeye anaingia mie natoka ama yeye anatoka mie naingia.

585F8D53-B1D0-4F3D-A158-D876BEB3D590.jpeg

Jirani huyu tunashea kamba za kuanikia nguo kiasi kwamba siku akifua yeye basi nasubiri hadi aanue nguo zake nami ndo nifue. Na maisha yetu yameenda hivyo kwa kitambo bila kukwaruzana.

286F5337-5AF0-420A-99E5-4A364F7D0648.jpeg

Wiki la juzi nimerudi kutoka kwenye shughuli zangu nshakula sasa niko mezani napanga mambo ya kesho yake na kurudisha jumbe na simu za siku nzima. Mishale ya saa tano na nusu hivi nasikia jirani anafungua milango anafunga.

E49FAAE3-862C-4059-9E60-20EC2E6566A6.jpeg

Mara paaap nasikia mlango wangu unagongwa, khaaaa. Niliogopaaa nikasema usiku huu nikimfungulia itakuwaje, what if... what if.... what if. Mie mwanamke ujue halafu.

5E228748-9538-4D49-BA9C-1B03F01B6AE3.jpeg

Akili yangu ikanizidi akili nikanyanyuka kwenye kiti kwa kunyata nikaenda chumbani kimya kimya bila hata kuzima taa na sendoz zangu za ndani niliziacha mezani.
Huo usiku ukapita bila kujua alitaka kunisemesha nini.

Ila msema kweli mpenz wa Mungu, acha niseme ukweli. Sikuidhulumu nafsi yangu ila najijua nilikuwa na minyege usiku ule ningefungua mlango walaah angenikula kirahisi sanaaa.

Sasa acha nisimulie kilichotokea jana usiku...😋😜

Mapema tuu niko nyumbani nakarangiza kwenye saa moja na nusu hivi nasikia hodi kufungua jirani. Nikamkaribisha ila hakuingia ndani akasema nitoke nje tukaanza maongezi kwenye korido.

Khaa...! Saa nzima ikakatika hapo tumesimama ni alfu lela ulela, nikajistukia narembua sana macho. Nikamkatisha samahani muda wangu wa kupata mlo wa usiku unapita karibu tukae wote mezani. Akasema hapana niendelee yeye akatoka kwenda kitaani.

Nikajifungia ndani kwangu nikala nikaosha vyombo usiku mzima ananijia akilini.....yaani namuwazaaa

Sitaki kumuelezea namna alivyo siajabu yuko humu, ila sitaki kuharibu ujirani wetu.

Eeehh maisha haya, bora nifikishe miaka 60 niache nyegee....😜😜😅😅😅😅

The Man Next Door is Senior Bachelor just like Granny Kasie 😋.

Kasie Mahaba.
 
Boeing 747

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
3,139
2,000
Jirani...awali ya yote nakushukuru sana kwa muda wako jana pale kordoni..
Kama hutojali naomba nikualike dinner jioni ya leo...chagua sehemu uipendayo..

Binafsi napenda sehemu iliyotulia na pawe na live band.. Jiran jana sijalala..
 
Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
18,931
2,000
View attachment 1810216
Jirani...awali ya yote nakushukuru sana kwa muda wako jana pale kordoni..
Kama hutojali naomba nikualike dinner jioni ya leo...chagua sehemu uipendayo..

binafsi napenda sehemu iliyotulia na pawe na live band..
Jiran jana sijalala..

Aahahahahahhaa jirani na leo hujatoka hadi saa hii kulikoni...??

Au ndo usingizi ulikuchukua asubuhi..!??
Pole kukunyima usingizi, nashukuru mie niliupata nikalala vyema na asubuhi niliwahi ibadani.

I love the dinner invitation, but if you don’t mind, can we make it next Saturday please....
You choose the place cause hizo sifa za dinner zote naendana nazo.

Angalizo, nnavyopenda kudeka... jiandae kunifungulia mlango wa gari aahahahahaha.
 
Boeing 747

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
3,139
2,000
View attachment 1810216

Aahahahahahhaa jirani na leo hujatoka hadi saa hii kulikoni...??

Au ndo usingizi ulikuchukua asubuhi..!??
Pole kukunyima usingizi, nashukuru mie niliupata nikalala vyema na asubuhi niliwahi ibadani.

I love the dinner invitation, but if you don’t mind, can we make it next Saturday please....
You choose the place cause hizo sifa za dinner zote naendana nazo.

Angalizo, nnavyopenda kudeka... jiandae kunifungulia mlango wa gari aahahahahaha.
Jirani we acha tu...
Kila kausingizi kakitaka kuja, image yako inatawala....ile sauti na mashauzi ya mahaba sasa..nachoka sana jirani..
Leo nimeamua nijipumzishe jirani...

Napenda sana videko jiran......nitakudekwza mpaka wasema nimelishwa naniliu..
 
Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
18,931
2,000
Jirani we acha tu...
Kila kausingizi kakitaka kuja, image yako inatawala....ile sauti na mashauzi ya mahaba sasa..nachoka sana jirani..
Leo nimeamua nijipumzishe jirani...

Napenda sana videko jiran......nitakudekwza mpaka wasema nimelishwa naniliu..

Aahahahahahahaa

Pole jirani, sirudii tena kukunyima usingizi.

Leo nakuja kukugongea saa tano na nusu 😜.
 
Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
18,931
2,000
Kasinde ndio nini tena kuja kuandikana jeiefu...
😊

Shuga sukariii tam tam ya warembo ...😋😋😋

Hivii watuu, ulivyo mtamu hivyoo naachaje kuja kukusimulia jeiefu....

Najikuta tuu nashindwa kujizuia, sukari taamuu 😋😋
 
TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
3,259
2,000
Hi everyone,

I hope you have a bright Sunday, Super weekend na nini na nini hata kama mambo yako ndivyo sivyo, have faith it’ll come your way just work hard.

Sasa bana, huku nnakoishi uswazi, mlango wa kuingia kwangu unatizamana na mlango wa jirani yangu ambaye huwa hatuonani kutokana na shughuli zake. Anatoka alfajiri sijui anarudigi saa ngapi, siku tukibahatika tunakutana kwenye korido au getini aidha yeye anaingia mie natoka ama yeye anatoka mie naingia.

View attachment 1810214

Jirani huyu tunashea kamba za kuanikia nguo kiasi kwamba siku akifua yeye basi nasubiri hadi aanue nguo zake nami ndo nifue. Na maisha yetu yameenda hivyo kwa kitambo bila kukwaruzana.

View attachment 1810217

Wiki la juzi nimerudi kutoka kwenye shughuli zangu nshakula sasa niko mezani napanga mambo ya kesho yake na kurudisha jumbe na simu za siku nzima. Mishale ya saa tano na nusu hivi nasikia jirani anafungua milango anafunga....

View attachment 1810218

Mara paaap nasikia mlango wangu unagongwa..... khaaaa...!!
Niliogopaaa nikasema usiku huu nikimfungulia itakuwaje, what if... what if.... what if..... mie mwanamke ujue halafu....

View attachment 1810219

Akili yangu ikanizidi akili nikanyanyuka kwenye kiti kwa kunyata nikaenda chumbani kimya kimya bila hata kuzima taa na sendoz zangu za ndani niliziacha mezani.
Huo usiku ukapita bila kujua alitaka kunisemesha nini.

Ila msema kweli mpenz wa Mungu, acha niseme ukweli. Sikuidhulumu nafsi yangu ila najijua nilikuwa na minyege usiku ule ningefungua mlango walaah angenikula kirahisi sanaaa.

Sasa acha nisimulie kilichotokea jana usiku...😋😜

Mapema tuu niko nyumbani nakarangiza kwenye saa moja na nusu hivi nasikia hodi kufungua jirani. Nikamkaribisha ila hakuingia ndani akasema nitoke nje tukaanza maongezi kwenye korido.

Khaa...! Saa nzima ikakatika hapo tumesimama ni alfu lela ulela, nikajistukia narembua sana macho. Nikamkatisha samahani muda wangu wa kupata mlo wa usiku unapita karibu tukae wote mezani. Akasema hapana niendelee yeye akatoka kwenda kitaani.

Nikajifungia ndani kwangu nikala nikaosha vyombo usiku mzima ananijia akilini.....yaani namuwazaaa

Sitaki kumuelezea namna alivyo siajabu yuko humu, ila sitaki kuharibu ujirani wetu.

Eeehh maisha haya, bora nifikishe miaka 60 niache nyegee....😜😜😅😅😅😅

The Man Next Door is Senior Bachelor just like Granny Kasie 😋.

Kasie Mahaba.

I was expecting some sort of a "happy ending" to this story.. vp, itaendelea?
 
Jimena

JF-Expert Member
Jun 10, 2015
25,430

Sasa haya maongezi jamani takribani saa nzima jirani alikuwa ana sera gani??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom