Tinted Ruksa
Member
- Aug 7, 2017
- 49
- 25
Club history,Transfer news,fixtures,tables,scores and results
Mpira sio mlinganyo...ule msako wa leo ni noma aisee...aguero angekuwepo ingetoka zozi ya 4G kama cku zote
hio haizuii watu kupredict mamboMpira sio mlinganyo...
Waoga kweli hao jamaa wenzao walitoa draw tu chereko kila mahali wenyewe hata update hakuna na wamewanyanyasa Chelsea kweliDaaahh..!!!huu uzi watu mmepiga mpira mzuri ila hakuna hata update ya timu yenu♂️♂️♂️