ikhatibu
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 2,359
- 2,273
kwa hali hiyo ilipo fikia, unabudi kumuambia kuwa kinachofata ni...Hahahhaha jamani kaka sasa unataka kumwambia mgonjwa live kwamba leo anakufa?
kwa hali hiyo ilipo fikia, unabudi kumuambia kuwa kinachofata ni...Hahahhaha jamani kaka sasa unataka kumwambia mgonjwa live kwamba leo anakufa?
Pana ile kauli huyu mgonjwa mrudisheni nyumbani au kajaribuni tiba nyingine hapa hatuuoni ugonjwa sasa hospital wakisema hivyo inabidi mjiandae kisaikolojiakwa hali hiyo ilipo fikia, unabudi kumuambia kuwa kinachofata ni...
Vardy balaaa amerudi tena.
Unawapa pole ya nini? Guordiola anafundishwa heshima ya EPL. Na wale wanaompenda Guordiola na Man. City ni lazima wampende Vardy.Poleni jamani mweee!!! ..... ila mpira dakika 90 mnaweza mkafanya kitu.
EPL ni baba lao...
Wanasema soka sometime siyo Fair!!!Yameniudhi mno. Ball possession wamewazidi mbali sana goli 4!!!!!!
Ball Possession, City 78-22 Leicester
Total Shots, City 19-11 Leicester
Accurate Passes, City 635 - 122 Leicester
Pass success, City 90%-58% Leicester
Fouls, City 7-10 Leicester
Corners, City 11-3 Leicester
Na kama anatumia style ya Barcelona atachemsha,
Wanasema soka sometime siyo Fair!!!
Thanks dear...jana ilikua siku ya furaha kwanguHongereni sana
Aiseeee kumbe mchepuko wako ni Man City.... hongera sana kwa ushindi.Thanks dear...jana ilikua siku ya furaha kwangu
Huku' The Blaugrana, King akifanya miujiza yake...
Huku' The City.....
Aiseeee kumbe mchepuko wako ni Man City.... hongera sana kwa ushindi.