The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Leo hii manager na wachezaji wa Man. City walilalamikia njaa na Everton waliamua kuwapikia milo 4 ingawaje Everton hawana shamba. Walipata wapi chakula cha kuwalisha Man. City.

Baada ya mlo, Guardiola ameishukuru Everton kwa ukarimu wao.
 
Unawapa pole ya nini? Guordiola anafundishwa heshima ya EPL. Na wale wanaompenda Guordiola na Man. City ni lazima wampende Vardy.
Vardy amewamwagia hasira zote alizozikusanya tokea msimu uanze vijana wa Manchester, jirani zake Bw. Mpayukaji. Sasa anasubiriwa "Domokaya" na yeye apewe "dose" yake ya asali.

Link Leicester City 4-2 Manchester City
heshima ya guardiola nikuuleta mpira wa tik tak epl.
 
Ndan ya cku 7 unakutana na Stock City,Atletico Madrid zen Man city katk point 9 umechukua 6.....hapohapo anatokea mtu mwny IQ ndogo anakuja kuiponda Chelsea
 
Back
Top Bottom