Ushirikina wao sio wakushika vibuyu kaka anamaanisha kuwa hawa Freemasos ni watu wanao mwabudu shetani namaanisha kuwa wanampinga mungu kingine ni huu mstari wa mkuu Nicholas
Illuminati wana mind control, na kuna spiritual threats mbaya, ambazo muathirika ana ushuhuda wa adhabu za kishetani, na akipima anaona ni bora kumtetea mtesi wake kuliko.
hawa jamaa huwa wanacheza na akili za watu na Huwezi kuamini Mpaka sasa wanai control dunia kwa au zaidi ya 50% wanaamua kipi wafanye au kipi wasifanye yupi awe kiongozi yupi asiwe, pia katika mahakama nyingi huwa wanasimamia kesi kubwakubwa.
Katika maelezo yako hapo naona ka unaelekea kusema "kifo chake kilikua kwa njia ya kishirikina " I mean it wasn't a normal death ka tujuavyo wengi kwamba ni gunshots...au nimekuelewa vibaya mkuu
Nilisikia kuwa hata kwenye mazishi yake wlihusika ndugu tu
yaani hakuna shabiki hata mmoja aliyeshuhudia..kama kuna anaefahamu zidi atujuze?
Familia yake ilipendelea mazishi yake yawe private kama celebrities wengi wapendavyo mfano mazishi ya Michael Jackson hata familia ya Mandela awali walitaka hiwe hivyo...ni kawaida tu hiyo hali
2PAC alizikwa kwa kuchomwa moto ila inasemekana (tetesi) baadhi ya majivu yake walipewa rafiki zake /machizi wake wa karibu (death row) wakamix na bangi then wakavuta...
Jibu likisadifu swali shaka huondoka...Behind it Kuna CIA pia. Ili kumaliza bifu lililokuwa linapamba moto Kati ya east na west. Both were killed by CIA. Period! But the question is " why the 7th day theory apply to the death of 2pac? Refer the kiluminati album!! Think big
kwani kabla ya 2 pac kuna mwingine aliyezikwa kifamilia bila watu kuona? kwa mantiki hiyo ni kuwa kuna uwezekano yupo hai na mama yake anajua kila kitu.
napenda kujua kuhusu hii tafadhali" why the 7th day theory apply to the death of 2pac? Refer the kiluminati album!! Think big
2PAC na BIG walikuwa wanawagawa vijana wa kiamerica, na kulikuwa na movement kubwa sana hasa kwa vijana kwenye kujitambua kimakundi, east coast na west coast. na wangeiacha hii notion kwa muda mrefu ingetokea division kubwa sana hata hii leo. serikali iliamua kuwaondoa hawa watu ili kila kitu kiwe cool
napenda kujua kuhusu hii tafadhali
sijaona palipoandikwa hivyo