The Man behind 2PAC's Death

2pac alikuwa na maadui wengi wasanii pamoja na viongozi ambao hawakupenda movement zake na alijua atauwawa tuu hivyo akaamua awawai kabla hawamuua.
 

Same people who made him a world star are same people who killed him kwa nn nsasema hivyo huyu jamaa story yake inaanzia kwenye ile group ya African American walokuwa wanatetea haki za weus by then (black panther) so baada ya Kuwa maarufu the guy was spearheading violence kwa slogan nyingi kama thug life ambayo ndo ilipata umaarufu and kwa kipindi chake jamaa alikuwa anainfluence kubwa kwa youths everyone was a tupac wanna be copying his walking style, dressing style and even matendo yake and kipindi hicho kumbuka ukifanya anachofanya pac you were like we ndo real gangstar and trust me there is no good thng out of a gangster! So watu waliiangalia presence ya Hawa watu wawili in future the who American youth would have been gangsters wanna be and violence oriented coz beef haikuwa kwa wao tu mpaka kwa mashabiki kama unakumbuka enzi za kukunja suruale mguu mmoja content za nyimbo zao zikawa zinapreach violence kwa sana mengine mengi. So kwa mtazamo wangu mie nadhani the people who created them are the one who took their lives!
 
sababu binadamu hatuna uwezo wa kutabiri siku zetu za mauti kama alivyofanya 2pac.

Kaka its possible kupredict kifo kama tu utaijua society unayoish inakuchukuliaje kwa pac tayari alishajua the fight he had with people and authorities na zaid alipokuwa na mwelekeo ule wa black panthers ambao serikali ya marekani haikubali, pia alishaanza kusens denja ndo mana akaja na nyimbo kama me against the world, changes pamoja na only god can judge me aliona mengi yalomkuta akaweza kupredict next move towards him. Ni mtazamo wangu huu wajomba!
 
Hii mbona iko wazi kabisa kuwa Suge ndie muhusika wa kifo cha 2Pac. FBI wanajua na ukitaka kujua zaidi we search mtandaoni. kwa kuanzia anza na wikipedia mtazame 2Pac na kisha anza kufuata links na utakutana na confessions kutoka kwa askari wa FBI waliokuwa wanapeleleza kesi hiyo.

Suge na Death Row wanahusishwa pia na mtukio mengi sana mabaya na hivi sasa anatumikia kifungo.
 
upo sahihi anko but sio na siku exactly ya kifo chako labda ujiue mwenyewe.
 
mjomba bado upo mbali sana asee suge wala cjui b.i.g wote hawahusiki..dig deeper
 

Hii iko wazi sana kuhusu FBI kuhusika..katika hiyo documentary inayomtaja Suge ka muuaji kuna retired corp mmoja anaelezea ni jinsi gani viongozi wao walivyokua wanazuia upelelezi usifanyike na jinsi muuwaji mwenyewe alivyokua very professional maana sehemu alizoshoot na pamoja zilipigwa risasi nyingi kimtazamo wa kawaida unawezasema ovyo ovyo lakini zote zilimpata PAC hakuna hata moja iliyompata Suge aliyekua amekaa pembeni yake...katika kutafuta umarufu eti akasema na ye alipigwa risasi ya kichwa kumbe alikatwa na kioo kichwani
 

So we mtazamo wako wauwaji hawakutoka death row wala hawakutoka bad boys ila ni mchongo wa serikali ya wamarekani kumaliza nguvu ya black movement
 
Rest in peace Tupac,& big small.always i miss u
 
2PAC na BIG walikuwa wanawagawa vijana wa kiamerica, na kulikuwa na movement kubwa sana hasa kwa vijana kwenye kujitambua kimakundi, east coast na west coast. na wangeiacha hii notion kwa muda mrefu ingetokea division kubwa sana hata hii leo. serikali iliamua kuwaondoa hawa watu ili kila kitu kiwe cool
 
Kilichowaua Tupac Amaru shakur na Notorious B.I.G. ni CIA.

Amini usiamini ndivyo ilivyo na walifanya hivyo baada ya kuona kuna hatari ya nchi nzima ya marekani kuwa na bifu za kudumu, kwani serikali iliamini baada ya bifu a East Coast na West Coast ingeanza bifu mpya kati ya weusi na weupe wakaamua kuwazima kabla.
 
Mimi naamini kabisa aliyemuua 2pac ni orlando anderson aka baby lane, huyu ni member wa kundi la crips na ambae alikua ana miaka 21 akifanya tukio hilo, orlando pia baadae aliwahi kusikika akijisifu kuwa yeye ndio aliyemmaliza makaveli baadae nae orlando aliuawa kwenye tukio lingine katika carwash.

Wakati 2pac akitoka kwenye pambano la tyson mjini vegas, mmoja wa watu waliokua kwenye entourage yake alimwambia tupac kuwa kijana aliekua kasimama pembeni wakati wao wanapita aliwahi kumuibia vito vyake vya thamani na kwamba pia ni member wa crips, wakati huo baby lane alikua kasimama pembeni, moja kwa moja 2 pac alimfata ns kuanza kumpiga yeye na kundi lake aliemtoa 2pac hapo ni bodyguard wake anaitwa big frank....

Baby lane alipigwa na tukio hilo lilionekana kwenye cctv, akavuka hadi ngambo ya pili kwenda hotel ambayo genge la crips liliikodisha kwa ajili ya member wake usiku wa pambano hilo walikua wamekodi hoteli nzima

Orlando aliwahi kukiri kuwa kitendo cha yeye kupigwa na 2pac kilifanya buzz yake ijae mesage kabla hata hajafika alipata mesage zaidi ya mia nne ndani ya dakika 20 kutoka kwa member wenzake

Baadae tupac wakaenda kwenye jumba la suge hapo vegas halafu 2pac akamuomba frank awaendeshe ndugu zake wa outlaws maana walikua wamelewa sana so 2pac na suge wakaingia kwenye hiyo bmw ya version 2007 na kuondoka kuelekea club 662 ya suge

Walifika kwenye mataa na 2pac akawa anawashangaa madem waliokua kwenye cadilac na kutaniana na ghafla ikaja cadilac nyeupe na kupaki na ghafla akaibuka mtu kwenye roof na kummiminia 2pac risasi

2pac alikufa siku saba baadae baada ya mama yake kusema kuwa life suport machine iondolewe na baada ya miezi kadhaa orlando alikua akijisifu kuwa kamuua 2pac

Orlando aliishi maisha ya kujificha hadi alipokufa mwaka 2007 na pia mama yake 2pac aliwahi kumshtaki orlando kwa kosa la kumuua mwanae

Nimeandika kwa ufupi sana kama una swali kuhusu 2pac au big unaweza kuniuliza na nitakujibu

Hv ndivyo ninavyoamini
 
PAC alikuwa na uadui mkubwa na Illuminati kuliko hao wengine. Na ndio waliomtengenezea mpaka kesi ya ubakaji.
Kwa kawaida mauaji ya Illuminati huwa hayachunguzwi na taasisi yoyote.
Dada wa Michael Jackson aliwahi ituhumu Illuminati kwa kuhusika na kifo cha King of Pop.
Mwisho akatolewa kafara Conrad Murray ambaye pia ni member wa Illuminati.
Lakini angalau mahakama ilikiri kuwa King of Pop aliuawa kwa kile kilichoitwa ni uzembe wa daktari wake.
Illuminati wanahusika kabisa na kifo cha PAC.
Ntarudi.
 
Sema tu wikileaks imefungiwa,tungejua kila kitu hapa
 

Angalia hizo sababu utapata jibu.
Top 20 reasons why 2Pac is alive
 

Katika hili la ugomvi ulitokea kwny casino kati ya Pac akisaidiwa na Suge kumpiga baby lane hata mimi nilibahatika kuziona footage za cctv za tukio hilo ila shaka langu kama kweli ye ndio alihusika aliwezaje kwa muda mchache vile kuorganize a great assassination ka hile ambayo mpaka leo hii F.B.I wameshindwa kupull out the real killer.
Je we inakuingia akilini kweli a mere fight ndio ilisababisha jamaa ajipange kiasi hicho mpaka apate professional hitman ka sio yeye maana kile kifo si chakawaida...alijuwaje kama PAC alikuwa upande gani wa hiyo tinted BMW na kwanini hakupatwa na risasi mtu mwingine..?
 
Sijawai kuamini kuwa 2pac ni marehemu hata siku moja na sitakuja kuamini

Mkuu kwanini usiamini? kuna mtu ataishi MILELE? ungeckia ndg yako wakaribu amekufa nadhani ungeamini 1 kwa 1! wakati mwingine 2cmkufuru MUNGU kifo cha Mwanadamu % kubwa kinatokana na Lyf style yake! Mpaka hapo naamini umeelewa namaanisha nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…