The Magambaz wanashikana mapaja..!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Magambaz wanashikana mapaja..!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Philipo Kidwanga, Oct 18, 2012.

 1. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kilichobakia ni kuchapana tu kama sungura pesa za wizi si zipo tayari.
   
 2. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,970
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  Jamaa kanenepa hadi kichwa, angalia kofia imavyopata tabu kuenea kichwani...
   
 3. M

  MAFUNZO Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kAA YAKE...........AMEBEBANISHA VITI.......? KAZI KWELI KWELI. "SISI NI SHOKA NDOGO WAO NI MTI MKUBWA,..lakini ipo siku tutawaangusha...."by Bob Marley
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,475
  Likes Received: 3,356
  Trophy Points: 280
  Mmmh......Huyo mwanamama ni nani??
   
 5. SWEEPER

  SWEEPER JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nilimpiga stop mke wangu kuingia kwenye siasa. Haya majamaa hayana haya kwa wake za watu. Linaona kabisa pete ya ndoa halafu linashika maeneo kama hayo.
   
 6. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,664
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  hehehe we Tbag hatari
   
 7. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,751
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  maskini kodi zetu .....
   
 8. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,218
  Likes Received: 793
  Trophy Points: 280
  Kichwa kimenenepa lkn akili ndogo kweli
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,913
  Likes Received: 1,939
  Trophy Points: 280
  Komba mda wote amekalia viti vi3, jamaa ni mnene sana
   
 10. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,566
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Komba kaunganisha viti vitatu!!! huu sasa sio unene ni ugonjwa.
   
 11. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,027
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180

  Na anakula kama hana akili nzuri nilifikaga nyumbani kwake mshkaji akitaka kula vyuku basi ni viwili na hali mbaka aone mapaja manne! LOL
   
 12. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,027
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  Na angekutana na mwigulu ingekula kwako! dadadek
   
 13. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ukiona manyoya ujuwe kaliwa
   
 14. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Hivi kama mimi ni mume wa huyo mwanamama nikaamua kumBARLAW huyo mzee, nitakua na makosa kweli????
   
 15. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 11,764
  Likes Received: 3,468
  Trophy Points: 280
  Kwa vipi!!!!!!!!!! mke wa mtu umshike hivyo eti mko kwenye kikao cha magamba! Wa kwake akikuta ameshikwa hivyo ataafiki kuwa ni mkutano! Ndio hayo ya kumpa mke wako cheo-ukuu wa wilaya wakati hana qualifications. Unafikiria nini kama mwanamume! Chakula cha wakubwa! eg-kutoka utangazaji wa ITV kuwa DC na particularly ukiwa MREMBO
   
 16. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,027
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  ha ha ha wabongo noumaaa..daahhh
   
 17. majonzi

  majonzi Senior Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ccm oyeeeeee!!!
   
 18. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,027
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  unajaribu kumaanisha kwamba Betty Mkwasa....????
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Wamezoeana kiasi cha kushikana ivyo usikute ata Mzigo alishakula mzee mzima mwenyewe
   
 20. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,384
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Nadhani ni Vicky Kamata
   
Loading...