THE LUCIFERIAN MINDSET: Ni kwa jinsi gani wamefanikiwa kupandikiza dogma yao kutawala ulimwengu kwa karne nyingi pasipo kushtukiwa wala kupingwa?

Undava King

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
3,181
5,321
Sina budi kusema kuwa inawezekana tumedanganywa sana au nimepotoka pia kuamini hili. Kupitia speculations zangu nimekuja kung'amua kuwa hatupaswi

kuwa na ugomvi wa kidini na kimadhehebu kwa kuwa wote tunachezeshwa na ka kikundi ka watu wachache wajiitao luciferian hivyo hili kuakikisha siwi na bias katika judgement zangu nimeamua kuweka hisia/mihemuko ya kidini kando nakuamua kuchimba kujua chanzo cha yote haya ni nini na haya ndo majibu nilokuja nayo;

The luciferian Mindset yaani fikra au mtizamo wa ki-ibilisi ambao ni chambo au mtego ambao ukishanasamo kutoka ni vigumu unakuwa humo kwenye cage ambako uoni mlango wakuchomokea wala mwangaza wa kujinasua na dogma hii yenye nguvu kuu ulimwenguni ambayo imefanikiwa kuteka fahamu za mabilioni ya watu duniani nakuwafanya kuwa watumwa wake kwa miaka mingi sasa.

Katika ngazi za juu kabisa za maamuzi wanakaa waanzilishi wa dogma hii yaani kikundi cha wachache au wapigaji wa ngoma then sisi tumeachiwa tuingie kucheza staili yeyote tuitakayo maadamu lengo lao wao litimie, wao utambua kuwa "THERE IS NO SUPREME GOD" hakuna Mungu mkuu mwenye mamlaka yote.

Isipokuwa umoja mmoja wa wapotoshaji wa kishetani waliojifanisha kana kwamba ni miungu Mungu na shetani. A CABAL yaani wala njama dhidi yetu wanadamu.

Likitoka daraja hili la watunga sera, miongozo na taratibu zakufuatwa yanakuja madaraja makuu mawili ya mrengo wa kukinzana yaani wale wanaoonekana kana kwamba wanatuambia ukweli ila

uthibitisho ni kwa njia ya kiroho na wale tunaowashuku kuwa wanatudanganya ila wao ufanya mengi kimwili zaidi. (THOSE APPEARS AS TRUTH AND SPIRITUAL and THOSE APPEARS AS LIES AND PHYSICAL) Lengo hapa nikutengeneza confusion nakuacha mfumo ujiendeshe wenyewe kwa kuwafanya walengwa wajitwalie upande wowote kati ya hiyo miwili huku wakijuzwa kuwa ndiyo hatima ya maisha yao (karma/destiny/hatima)

Kazi kubwa nikuwalisha dogma na kuwaaminisha kuwa upande walipo kila mmoja wao ni sahihi na salama zaidi kuliko upande walipo wale wengine, hivyo kwa maana hii

DIVIDE AND RULE haiepukiki lazima ifanikiwe na kama ni biashara tiyari imepata competitor hivyo haiwezi kufa tena na vitu kama chuki,kurogana,mabifu, kujiona bora kiimani, kutengana,kuuana, n.k haviwezi koma na urithishwa kizazi mpaka kizazi.

Sasa ni jukumu la wavuvi wa binadamu kuhakikisha kila mmoja alipo anajipatia waamini wengi kwa njia yeyote nakujiimarisha zaidi kiuchumi, kisiasa na kinguvu na hivyo kujipatia sehemu katika utawala wa wachache katika kujitwalia

ufalme wa ulimwengu huu kwa kuwa wanajua nguvu ya utawala ni watu na watu uongozwa kupitia fikra, ukishawadhibiti kwenye akili zao basi unawaweka bandani kama kuku wa kisasa jambo ambalo wamefanikiwa kwa asilimia kubwa.

Sasa katika hatua hii makundi haya ugawanishwa katikati katika pande mbili na ideology ya THE CREATOR OF DUALITY yaani concept inayohold uwepo wa pande mbili katika kila jambo ambalo lengo nimeshalifafanua tiyari na chini yake ujengwa idea ya THE CREATOR OF HEAVEN AND EARTH.

Sasa tuzitizame pande hizi mbili moja ikiwa ni ile ambayo mambo yake ni ya kiroho na ya pili yakifizikia zaidi.

Upande mmoja usimamiwa na SPIRITS (Roho) na upande mwingine ni DEMONIC (Mapepo/Majini) huku pande zote mbili zikifanya kazi kama pande mbili za shilingi.

Tuanze na components za upande wa spirits hapa katika ngazi za juu kabisa tunaye MUNGU ambaye utambulika kwa MEMA na MAZURI chini yake wapo MALAIKA WAZURI au WEMA kisha ufuatia nguzo ya kwanza katika imani yaani BOAZ ambalo si jina geni kwa wale wanaoifahamu imani kumhusu masihi na uzao wake kabla ya kuzaliwa kwake.

BOAZ "In strength of" kwa nguvu ya au 'In him (is) strenght' ndani yake kunamo nguvu, hivyo boazi uwakilisha nguzo moja ya portico(ukumbi) wa hekalu (1wafalme 7:21) pia waweza ita 'sharp mind' yaani enye akili nyingi.

Chini yake ni mamlaka ya agizo la ROSE(agizo la kuangaza au kuchomoza na kung'aa) uwakilishwa mara kwa mara na celestial bodies mfano jua linalochomoza,holo disk,sayari,

nyota,jicho,mwezi,n.k hivi uchorwa au kunakishwa kama nembo muhimu za utambulisho wa madhehebu, juu ya misahafu au kwenye vipeperushi vyao,katika mavazi,miongozo na ishara katika ibada n.k

Hili kulifanikisha hilo basi njia mbalimbali utumika ila njia iliyokuu ni kuficha uhalisia kwa kuonesha alama, ishara na kuwasilisha taswira zenye ufanano sawia na vitu halisi hili kuzuia kushtukiwa juu ya uasili wa kile kinachofanywa.

Kundi hili lenye wafuasi wengi zaidi duniani utambulika kama washriki uchawi MWEUPE au kwa kimombo WHITE WITCHCRAFT.

Kundi linalofata ni lile la Demonic lenyewe linajiendesha kwa kificho nakuacha wengi wadoubt kama lipo kweli au ni uongo na pia mambo yake uhusisha sana kimwili (physical) hivyo matokeo yake huwa ni ya haraka ndiyo maana upande huu

umechaguliwa sana na watu wanaopenda shortcut zaidi nakutimiza malengo makubwa kwa haraka au wasiyo na dhamira ya ubinadamu au utu, au wanaoweza ku-risk chochote kupata chochote.

Katika daraja la juu zaidi inaanza title au cheo cha DEVIL yaan shetani, amefanywa kutambulika kwa sifa ya UBAYA au MAOVU, wafuasi wake huitwa DEMONS yaani Mapepo, chini yao tunakuwa tumevuka nguzo kuu ya pili ya hekalu yaani

JACHIN "He that strengthens and makes stead fast" yeye aimarishaye na kufanya uthabiti.

Hapa tunakumbana au kukabiliana na agizo la mauti au kifo (the order of DEATH), hawa ufanikisha lengo hili kupitia duplicating(kujifananisha/kuiga), the temple(hekalu), tabernacle ( mwili ni hekalu au hema takatifu ambalo uhifadhi nafsi) above here below (kama ilivyo juu basi na chini pia ni sawa)

Hawa matendo yao uhusisha zaidi taratibu, ishara na alama zinazoashiria mauti au uhusisha mauti katika uhalisia kama njia ya kutoa dhabihu na kufunguliwa milango ya maarifa,kinga,ujuzi au mafanikio.

Kwa lugha nyingine hawa utambulika kama wafuasi wa uchawi MWEUSI yaani BLACK WITCH.

Sasa tujikite kwenye sehemu ya mwisho yaani demonic entities yenyewe inafanyaje kazi baada ya kuzichambua pande zote mbili zinazosimamiwa/kuratibiwa na section hii ya demonic entities.

Hawa utumia mfumo wa EGREGORE THOUGHT FORM yaani mjumuiko/muunganiko wa ideas za kichawi au kishirikina katika kutenda au kufanikisha SIGIL MAGIC (kutenda miujiza)

Cabala, Kabalam ambayo ni imani ya kiyahudi (secret doctrine or esoteric; occultism) ambayo inatekelezwa kulingana na tafsiri ya misahafu iliyoshamiri zaidi mwishoni mwa karne ya 12th.

Subliminal messaging yaani kutumia technique ya kufanya matangazo au kufikisha ujumbe kwenye fikra za mtazamaji,muumini,shabiki au mtumiaji wa mitandao au chombo cha habari

pasipo yeye kung'amua kuwa anatumiwa au anapandikizwa idea nyingine au
kuoneshwa jambo lililofichwa kupitia jumbe,alama,katuni,muvi,miziki, michezo, watu mashuhuri na maarufu,mambo ya kidini n.k

Njia nyingine ambayo inaweza kutumiwa na pande zote mbili yaani white na black witches kukamilisha kuadaa au kuwafanya mateka wafuasi wao nikupitia kufanya MANUIZI (CASTING SPELLS) hapa nguvu ya maneno ufanya jambo lolote kuwezekana.

Hivyo manuizi haya hayaishii tu hapo kuna pia yale ya the HEX ambayo lengo lake huwa ni kudhuru na INCANTATIONS ambayo hutumika kuongea au kuimbwa kama sehemu ya kufanya maajabu.

Na mwisho ni kuhalalisha 3D ambayo umficha mwanadamu kujua zaidi ya hapo au kuona uhalisia uliopo nje ya kile alichoaminishwa kujua au kukiishi kwa mazoea kuwa ndivyo ilivyo na zaidi ya hapo atamkosea supernatural being nakukumbana na chamtema kuni.

Mathayo 7:13 "ingieni kupitia mlango mwembamba, kwa maana lango ni pana na njia ni pana ielekeayo upotevuni nao ni wengi waingiao kupitia lango hili."

Tamati; Ujumbe tunaoupata hapa kwa kifupi ni kuwa haya mambo ni idea za watu wachache ambao kwa mapenzi yao wameamua kuficha wanachokijua kwa malengo yao binafsi ambayo ni wazi kuwacontrol wanadamu wenzao kwa kuwa

wanasiri za ulimwengu na nguvu zinazosababisha cause and effect hivyo uzitumia kumunipulate fikra zetu nakututawala kirahisi, kwa lugha nyingine utawala huu ndiyo serikali ya kimabavu inayoongoza ulimwengu huu nakuanguka kwake ndiyo kujikomboa kwa human races duniani.
 
tunajikwamua vipi mkuu na haya mambo
 
tunajikwamua vipi mkuu na haya mambo
Ni ngumu kujikwamua maana wenzio wamewekeza miaka mingi sana kufika hapo walipoifikisha dunia, hivyo kuibadili mindset ya ulimwengu mpaka ibadilike hili utawala huu ufe kuanzia ngazi ya familia yenyew bado ni mtihani mzito.
 
Kwahiyo u katolik na uislam ni dini fake
Siyo ukatoliki wala uislamu bali dini zote unazozifahamu wewe zipo ndani ya mfumo huo mpaka falsafa za kina meditation na kina kundalini ni michezo hyo hiyo,

Ntakupa mfano kidogo ukafatilie maana picha nashindwa kuzitupia humu, kuna mchoro wa kundalini ukiwa na nyoka wawili wakikizunguka kijiti kimoja ambacho juu kina mabawa mfano wa bawa la ndege,

nyoka hawa uhitwa nyoka wa shaba wana rangi mbili nyeusi na nyeupe (white&black witch) kijiti ni demonic entities au shina wanaloegemea kufanikisha mind game na juu kabisa bawa nikuashiria umungu au akina lusifa wenyewe wanaotuandikiaga maandiko kuwa na tumuumbe binadamu kwa mfano wetu.
 
Mm nitaongelea zaid suala la secret organizations jinsi zinavyotumia Kazi za Fasihi&media kufikisha ujumbe wao kwa jamii husika, nikianza na suala la stadi za michoro mfano n mchoro wa Leonard davinc, huyu jamaa picha zake nying znatafsiliwa vbaya na watu, sabbu inaweza kuwa n ufinyu wa maarifa, ama na wao wamepofushwa kujikuta wanatoa ujumbe wa uongo kuhusu mchoro fulan, mm nitaongelea ule mchoro ulioonesha yesu akiwa na wanafunz wake 12 ktk jengo lenye milango3, sas kiufup tu uo mchoro kama huu nilioweka unaongelea zaid jambo 1 tu ambalo ni "christ" ama mkombozi, napoongelea mkomboz kuhusian na andiko langu namaanisha mwanadamu nusu mungu kiufup mwana wa mungu alie na uungu nusu ubinadamu ambaye anazaliwa kwa kipi d fulan cha maisha ya wanadamu na ktk jamii fulan kwenda kuwakomboa ktk changamoto fulani,,sasa ktk maisha ya wanadamu ulimwengun wameshatokea makristo weengi sana (christ),,ambao lengo lao ni ilo nililioandika hapo, sasa ktk historia christ wa kwanza alikuwa akiitwa(1) jokisabe, huyu nae alizaliwa na nguvu za uungu yaan alitoka ktk uzao wa mwanadamu na uungu, huyu alizaliwa baran afrika, na alkuja afrika kwa lengo la ukomboz wa fikra (kiroho) kuwatoa watu weusi toka ktk giza la kimaarifa, huyu alitenda miujiza mingi na yakushangaza,na alkuja kuuwawa na watu wa jamii kizungu,
2)Kuna huyu aliitwa horus, huyu alikuwa mungu mtu toka ktk afrika ya kale yaan misri naye alizaliwa tarh25 mwaka wa3000bc,
3)baada yake alikuja kuzaliwa christ aitwae mithra tareh25 mwaka wa600bc uko persia
4)baadae alkuja zaliwa chrst aitwaeheracles mwaka wa800 date25 uko ugiriki
5)baadae akaja christo Tammuz wa mwaka wa400 date25 uko babilon ya kale
6)huy nae ni chrst aitwaye Adonis wa mwaka wa200 date 25 huko fenicia
7)baada yake alizaliwa christo mwngne wa jamii za kigirik tarehe25 mwaka wa 200 huyu aliitwa Hermes,
8)baada ya huyo tena akazaliwa christ mwngne nae huy alikuwa ktk jamii ya wagiriki tareh 25 mwaka wa 500,huyu aliitwa Dioniosio
9) baada ya huyo tena akaja kuzaliwa christ mwngine ktk jamii za asia huyu aliitwa Budha alizaliwa trh25 mwaka wa563
10) mwngne tena ni zarathrusta huyu alizaliwa tareh25 mwak wa 1000 ktk jamii za Persians
11) huyu nae ni chris aliyeitwa krisha alizaliw tareh25 mwaka wa900 uko india
12)baaadaee kabisa nawez sema huyu ndye mliyeamunishwa ni Mungu mtu yaan huyu ndye anayekiki ,huyu ndye kaleta calendar ya kirumi yaan AD&BC, huyu alizaliwa tareh 25 mwaka wa 0 uko israel ya kusadikika, huyu ndye yesu,jesus na kwa historia alikufa baadaye miaka33, na huyu ndye chisto wa mwisho ktk historia za makristo waliowai shuka dunian kusave watu wa jamii fulan...sasa lengo la kuandika hawa wote makristo nikujarbu kukuonesha kuwa hawo woote11 kasor huyo wa 1, wana historia inayofanana kuanzia tareh za kuzaliwa mpka baazi ya kaz zao, na hawa woote wamekopi uhusika kutka ktk real chrsto ambaye ni huyo wa kwanza aliyeishi afrika miaka zaid ya y600 bc kwa kalenda za fake christo namely jesus, niwaambie tu, yesu sio Mungu wala sio christo wa kwel maana nae kakopi uhusika toka ktk makristo waliowai kuwepo, na hao woote 11 ni mkristo wa uongo maana Kristo wa kwel ni mmoja tu aliyeish barana afrika na alikuja kwajil ya afrika, na atarud tena barana afrika baada ya mataifa ya dunia kuihujumu afrika, na huyu ndye atakae waunganisha watu woote weusi toka ktk pande zote za dunia,huyu ndie atakae warudisha wana wa ibrahimu harisi na kuwaleta yetusalem ya kwel ambayo ni afrika, huyu ni mweusi mwenzetu, huyu ndye Christo na mtetez wakwel ajae kuuangamiza falme dharimu za hii dunia...huo ndyo mwsho wa uchambuz wa picha ya leonard da vinch wenye mchoro wa watu12 ambao kwa mujibu wa maabudu shetan yaan wanaomuabudu zeus (jesus) wanasema ni yesu na wanafunz wake, nimalize kwa kusema kuwa Dini zotee aijalish umekalil kitu gan, zoote znamsujudu mshenz mmoja aitwae shetan mwenye mwana aitwae krishna,au zeus,au tammuz, au yesu, au budha, vyovyote vile hawa wote ni muhusika mmoja ambaye ni superior Demon mwenyew majina mengi kulingana na wakat na jamii aliyokuwepo,,,mwafrika tafuta maarifa achana na dini za kizushi hizo hazina maana yeyote zaid ya kukuarbu akil na kukuaminisha uongo ambao mwishoe utakupeleka pabaya na mkaja kujuta, wakat wa kuujua ukwel ni sasa wandugu tumedanganywa sana, sasa ni muda wa kuamka kiakil, utumwa wa mwil ulikwisha ,sasa n utumwa wa fikra(kiroho) ambao funguo zake ni Neno la kweli yaan maarifa ya kwel ambayo ukiyapokea lzma ufunguke na nguvu za asiri yaani Muumba lazma zitawale pamoja nawew..ASANTENI
FB_IMG_16255568845884660.jpg
 
Next time nkipata muda nitaelea jinsi gan awa secrets societies wanatumia media kufikisha ujumbe kupitia Hollywood movies such as avengers, super man, Spider-Man, wonder women, Avatar, life of jesus, Jesus of Nazaren ya 1977, the passion of the chrst ya 2004, the choosen ya 2017, na pia nitaeleza njia wanazotumia kuaminisha watu uwepo wa fake christ kupitia movies kama hizo nilizotaja za Jesus's life, pia fake pastors, apostles, bishops, teachers, coming of aliens and fake demon miracles such as presents of heaven&hell, la mwisho ni fake coming of jesus through the displayed image of white guy in the sky by super technology called blue beam projection.

Haya yote yanafanyika kuwadanganya wanadamu kuhusu uwepo wa hawa viumbe wao ambao ni wahusika ktk vitabu vya uongo mnavyoviita quran&bible, mujue kuwa ipo siku wale waliotabiiwa kuja, nikweli watakuja, na watakuja kwa njia ambazo hamtategemea maana mtakuwa mmeshawaamn waongo ambao watakuja kwa njia za uongo ambazo mnatabiliwa na wachungji zenu makanisan na misikitini haya yoote yatatokea chini ya utawala wa technolojia ya hali ya juu sana ambayo ipo tangu sasa
 
Mm nitaongelea zaid suala la secret organizations jinsi zinavyotumia Kazi za Fasihi&media kufikisha ujumbe wao kwa jamii husika, nikianza na suala la stadi za michoro mfano n mchoro wa Leonard davinc, huyu jamaa picha zake nying znatafsiliwa vbaya na watu, sabbu inaweza kuwa n ufinyu wa maarifa, ama na wao wamepofushwa kujikuta wanatoa ujumbe wa uongo kuhusu mchoro fulan, mm nitaongelea ule mchoro ulioonesha yesu akiwa na wanafunz wake 12 ktk jengo lenye milango3, sas kiufup tu uo mchoro kama huu nilioweka unaongelea zaid jambo 1 tu ambalo ni "christ" ama mkombozi, napoongelea mkomboz kuhusian na andiko langu namaanisha mwanadamu nusu mungu kiufup mwana wa mungu alie na uungu nusu ubinadamu ambaye anazaliwa kwa kipi d fulan cha maisha ya wanadamu na ktk jamii fulan kwenda kuwakomboa ktk changamoto fulani,,sasa ktk maisha ya wanadamu ulimwengun wameshatokea makristo weengi sana (christ),,ambao lengo lao ni ilo nililioandika hapo, sasa ktk historia christ wa kwanza alikuwa akiitwa(1) jokisabe, huyu nae alizaliwa na nguvu za uungu yaan alitoka ktk uzao wa mwanadamu na uungu, huyu alizaliwa baran afrika, na alkuja afrika kwa lengo la ukomboz wa fikra (kiroho) kuwatoa watu weusi toka ktk giza la kimaarifa, huyu alitenda miujiza mingi na yakushangaza,na alkuja kuuwawa na watu wa jamii kizungu,
2)Kuna huyu aliitwa horus, huyu alikuwa mungu mtu toka ktk afrika ya kale yaan misri naye alizaliwa tarh25 mwaka wa3000bc,
3)baada yake alikuja kuzaliwa christ aitwae mithra tareh25 mwaka wa600bc uko persia
4)baadae alkuja zaliwa chrst aitwaeheracles mwaka wa800 date25 uko ugiriki
5)baadae akaja christo Tammuz wa mwaka wa400 date25 uko babilon ya kale
6)huy nae ni chrst aitwaye Adonis wa mwaka wa200 date 25 huko fenicia
7)baada yake alizaliwa christo mwngne wa jamii za kigirik tarehe25 mwaka wa 200 huyu aliitwa Hermes,
8)baada ya huyo tena akazaliwa christ mwngne nae huy alikuwa ktk jamii ya wagiriki tareh 25 mwaka wa 500,huyu aliitwa Dioniosio
9) baada ya huyo tena akaja kuzaliwa christ mwngine ktk jamii za asia huyu aliitwa Budha alizaliwa trh25 mwaka wa563
10) mwngne tena ni zarathrusta huyu alizaliwa tareh25 mwak wa 1000 ktk jamii za Persians
11) huyu nae ni chris aliyeitwa krisha alizaliw tareh25 mwaka wa900 uko india
12)baaadaee kabisa nawez sema huyu ndye mliyeamunishwa ni Mungu mtu yaan huyu ndye anayekiki ,huyu ndye kaleta calendar ya kirumi yaan AD&BC, huyu alizaliwa tareh 25 mwaka wa 0 uko israel ya kusadikika, huyu ndye yesu,jesus na kwa historia alikufa baadaye miaka33, na huyu ndye chisto wa mwisho ktk historia za makristo waliowai shuka dunian kusave watu wa jamii fulan...sasa lengo la kuandika hawa wote makristo nikujarbu kukuonesha kuwa hawo woote11 kasor huyo wa 1, wana historia inayofanana kuanzia tareh za kuzaliwa mpka baazi ya kaz zao, na hawa woote wamekopi uhusika kutka ktk real chrsto ambaye ni huyo wa kwanza aliyeishi afrika miaka zaid ya y600 bc kwa kalenda za fake christo namely jesus, niwaambie tu, yesu sio Mungu wala sio christo wa kwel maana nae kakopi uhusika toka ktk makristo waliowai kuwepo, na hao woote 11 ni mkristo wa uongo maana Kristo wa kwel ni mmoja tu aliyeish barana afrika na alikuja kwajil ya afrika, na atarud tena barana afrika baada ya mataifa ya dunia kuihujumu afrika, na huyu ndye atakae waunganisha watu woote weusi toka ktk pande zote za dunia,huyu ndie atakae warudisha wana wa ibrahimu harisi na kuwaleta yetusalem ya kwel ambayo ni afrika, huyu ni mweusi mwenzetu, huyu ndye Christo na mtetez wakwel ajae kuuangamiza falme dharimu za hii dunia...huo ndyo mwsho wa uchambuz wa picha ya leonard da vinch wenye mchoro wa watu12 ambao kwa mujibu wa maabudu shetan yaan wanaomuabudu zeus (jesus) wanasema ni yesu na wanafunz wake, nimalize kwa kusema kuwa Dini zotee aijalish umekalil kitu gan, zoote znamsujudu mshenz mmoja aitwae shetan mwenye mwana aitwae krishna,au zeus,au tammuz, au yesu, au budha, vyovyote vile hawa wote ni muhusika mmoja ambaye ni superior Demon mwenyew majina mengi kulingana na wakat na jamii aliyokuwepo,,,mwafrika tafuta maarifa achana na dini za kizushi hizo hazina maana yeyote zaid ya kukuarbu akil na kukuaminisha uongo ambao mwishoe utakupeleka pabaya na mkaja kujuta, wakat wa kuujua ukwel ni sasa wandugu tumedanganywa sana, sasa ni muda wa kuamka kiakil, utumwa wa mwil ulikwisha ,sasa n utumwa wa fikra(kiroho) ambao funguo zake ni Neno la kweli yaan maarifa ya kwel ambayo ukiyapokea lzma ufunguke na nguvu za asiri yaani Muumba lazma zitawale pamoja nawew..ASANTENIView attachment 1874553
Mhhhhh
 
Next time nkipata muda nitaelea jinsi gan awa secrets societies wanatumia media kufikisha ujumbe kupitia Hollywood movies such as avengers,super man,Spider-Man, wonder women, Avatar,life of jesus,jesus of nazaren ya 1977,the passion of the chrst ya2004,the choosen ya 2017, na pia nitaeleza njia wanazotumia kuaminisha watu uwepo wa fake christ kupitia movies kama hizo nilizotaja za Jesus's life, pia fake pastors,apostles, bishops, teachers,coming of aliens and fake demon miracles such as presents of heaven&hell, la mwisho ni fake coming of jesus through the displayed image of white guy in the sky by super technology called blue beam projection....haya yote yanafanyika kuwadanganya wanadamu kuhusu uwepo wa hawa viumbe wao ambao ni wahusika ktk vitabu vya uongo mnavyoviita quran&bible, mujue kuwa ipo siku wale waliotabiiwa kuja, nikwel watakuja, na watakuja kwa njia ambazo hamtategemea maana mtakuwa mmeshawaamn waongo ambao watakuja kwa njia za uongo ambazo mnatabiliwa na wachungji zenu makanisan na misikitini haya yoote yatatokea chini ya utawala wa technolojia ya hali ya juu sana ambayo ipo tangu sasa,...
we jamaa una taarifa nyingi sana
 
Mm nitaongelea zaid suala la secret organizations jinsi zinavyotumia Kazi za Fasihi&media kufikisha ujumbe wao kwa jamii husika, nikianza na suala la stadi za michoro mfano n mchoro wa Leonard davinc, huyu jamaa picha zake nying znatafsiliwa vbaya na watu, sabbu inaweza kuwa n ufinyu wa maarifa, ama na wao wamepofushwa kujikuta wanatoa ujumbe wa uongo kuhusu mchoro fulan, mm nitaongelea ule mchoro ulioonesha yesu akiwa na wanafunz wake 12 ktk jengo lenye milango3, sas kiufup tu uo mchoro kama huu nilioweka unaongelea zaid jambo 1 tu ambalo ni "christ" ama mkombozi, napoongelea mkomboz kuhusian na andiko langu namaanisha mwanadamu nusu mungu kiufup mwana wa mungu alie na uungu nusu ubinadamu ambaye anazaliwa kwa kipi d fulan cha maisha ya wanadamu na ktk jamii fulan kwenda kuwakomboa ktk changamoto fulani, sasa ktk maisha ya wanadamu ulimwengun wameshatokea makristo weengi sana (christ), ambao lengo lao ni ilo nililioandika hapo, sasa ktk historia christ wa kwanza alikuwa akiitwa

1) Jokisabe, huyu nae alizaliwa na nguvu za uungu yaan alitoka ktk uzao wa mwanadamu na uungu, huyu alizaliwa baran afrika, na alkuja afrika kwa lengo la ukomboz wa fikra (kiroho) kuwatoa watu weusi toka ktk giza la kimaarifa, huyu alitenda miujiza mingi na yakushangaza,na alkuja kuuwawa na watu wa jamii kizungu

2)Kuna huyu aliitwa horus, huyu alikuwa mungu mtu toka ktk afrika ya kale yaan misri naye alizaliwa tarh25 mwaka wa3000bc

3)Baada yake alikuja kuzaliwa christ aitwae mithra tareh25 mwaka wa600bc uko persia

4) Baadae alkuja zaliwa chrst aitwaeheracles mwaka wa800 date25 uko ugiriki

5)Baadae akaja christo Tammuz wa mwaka wa400 date25 uko babilon ya kale

6)Huyu nae ni chrst aitwaye Adonis wa mwaka wa200 date 25 huko fenicia

7)Baada yake alizaliwa christo mwngne wa jamii za kigirik tarehe25 mwaka wa 200 huyu aliitwa Hermes

8)Baada ya huyo tena akazaliwa christ mwngne nae huy alikuwa ktk jamii ya wagiriki tareh 25 mwaka wa 500,huyu aliitwa Dioniosio

9)Baada ya huyo tena akaja kuzaliwa christ mwngine ktk jamii za asia huyu aliitwa Budha alizaliwa trh25 mwaka wa563

10) Mwingne tena ni zarathrusta huyu alizaliwa tareh25 mwak wa 1000 ktk jamii za Persians

11) Huyu nae ni chris aliyeitwa krisha alizaliw tareh25 mwaka wa900 uko india

12)Baadae kabisa naweza sema huyu ndye mliyeamunishwa ni Mungu mtu yaan huyu ndye anayekiki ,huyu ndye kaleta calendar ya kirumi yaan AD&BC, huyu alizaliwa tareh 25 mwaka wa 0 uko israel ya kusadikika, huyu ndye Yesu, Jesus na kwa historia alikufa baadaye miaka33, na huyu ndye chisto wa mwisho ktk historia za makristo waliowai shuka dunian kusave watu wa jamii fulan...sasa lengo la kuandika hawa wote makristo nikujarbu kukuonesha kuwa hawo woote11 kasor huyo wa 1, wana historia inayofanana kuanzia tareh za kuzaliwa mpka baazi ya kaz zao, na hawa woote wamekopi uhusika kutka ktk real chrsto ambaye ni huyo wa kwanza aliyeishi afrika miaka zaid ya y600 bc kwa kalenda za fake christo namely jesus, niwaambie tu, yesu sio Mungu wala sio christo wa kwel maana nae kakopi uhusika toka ktk makristo waliowai kuwepo, na hao woote 11 ni mkristo wa uongo maana Kristo wa kwel ni mmoja tu aliyeish barana afrika na alikuja kwajil ya afrika, na atarud tena barana afrika baada ya mataifa ya dunia kuihujumu afrika, na huyu ndye atakae waunganisha watu woote weusi toka ktk pande zote za dunia, huyu ndie atakae warudisha wana wa ibrahimu harisi na kuwaleta yetusalem ya kwel ambayo ni afrika, huyu ni mweusi mwenzetu, huyu ndye Christo na mtetez wakwel ajae kuuangamiza falme dharimu za hii dunia...huo ndyo mwsho wa uchambuz wa picha ya leonard da vinch wenye mchoro wa watu12 ambao kwa mujibu wa maabudu shetan yaan wanaomuabudu zeus (jesus) wanasema ni yesu na wanafunz wake, nimalize kwa kusema kuwa Dini zotee aijalish umekalil kitu gan, zoote znamsujudu mshenz mmoja aitwae shetan mwenye mwana aitwae krishna,au zeus,au tammuz, au yesu, au budha, vyovyote vile hawa wote ni muhusika mmoja ambaye ni superior Demon mwenyew majina mengi kulingana na wakat na jamii aliyokuwepo,,,mwafrika tafuta maarifa achana na dini za kizushi hizo hazina maana yeyote zaid ya kukuarbu akil na kukuaminisha uongo ambao mwishoe utakupeleka pabaya na mkaja kujuta, wakat wa kuujua ukwel ni sasa wandugu tumedanganywa sana, sasa ni muda wa kuamka kiakil, utumwa wa mwil ulikwisha ,sasa n utumwa wa fikra(kiroho) ambao funguo zake ni Neno la kweli yaan maarifa ya kwel ambayo ukiyapokea lzma ufunguke na nguvu za asiri yaani Muumba lazma zitawale pamoja nawew..ASANTENIView attachment 1874553
Mkuu kabla ya ukristo tulikuwa na religio-philosophy kadhaa.na Mystery religions.Na kwa kiasi kikubwa athari zake tunaweza kuziona katika ukristo isipokuwa tu pengine zimeboreshwa.Ninakubaliana na andiko lako kwa 100%.Ni kitu kimoja tu kinakuanguasha uandishi wako
 
Back
Top Bottom