The less you know, the happier you are!

The less you know, the happier you are!

Kuna aina ya watu, nashindwa jina gani zuri la kuwapa. Naomba mnisamehe, ila ili kukipa maana hiki ninachokiandika hapa, nitawaita Wajinga au Wapumbavu.

Aina hii ya watu ni wale ambao either hawajasoma kabisa au wana elimu ya msingi na wapo very little informed kuhusu mambo yanavyoendelea Tanzania na duniani!

Ninachokipenda kwa watu hawa, wana furaha muda wote! Yaani utawakuta wanatabasamu na kucheka all the time, hawana stress kabisa mioyoni mwao na ikifika usiku wanalala kwa amani kabisa.

Kadiri unavyojiongezea maarifa, unavyojua mengi zaidi na kuwa well informed kuhusu kila kitu kinachoendelea, huzuni moyoni inaongezeka. Inaongezeka kiasi kwamba moyo unakuuma mchana na usiku hulali kwa raha.

Kadiri unavyozidi kujua zaidi, unapata maswali mengi zaidi yasiyo na majibu!

Ule mstari unaosema "Kwenye wingi wa maarifa kuna wingi wa huzuni, na yeyote ajiongezeaye maarifa anajiongezea huzuni" ni wa kweli kabisa. Na leo nimejua kwamba, the less you know, the happier you are!

Bora niwe mjinga kwa kweli, nimevurugika na huu mchakato wa uchaguzi! Nahisi nitapasuka.
wanawake wengi wasiokuwa na shughuli za kujiingizia vipato{magolikipa} wapo kwenye kundi hilo,yeye haoni shida
kuipigia kura CCM,bila kufikiria,ukimwambia kuwa kura ina mustakabari wa maisha yake hakubali!kwakuwa hawashughuliki kutafuta ada za shule za watoto,hela za matibabu,hela za chakula hatoi.hana cha kupoteza.akisikia
chama cha UPINZANI anajua ni vita,havifai! TANZANIA baada ya miaka 10 ndio upinzani unaweza kushika dola!
 
  • Thanks
Reactions: naa
wisdom/knowledge is an internal eye to him who own it ,,others lacks it from when born to death.......;

wale vijana km wa6 ivi eg Kampeni mngr ""are really not politicians (in international levels)"" but just boasting that they cant leave white house on paper and give it to their contestants/ bao la mkono speaking openly

-----FOOLISH COUNTRY STARTING WITH ME--------
 
Haya matokeo Mimi binafsi bado hayanipi hofu ,ndio kwanza safari imeanza ,hakuna sababu ya kukata tamaa mapema hivi
 
Kuna aina ya watu, nashindwa jina gani zuri la kuwapa. Naomba mnisamehe, ila ili kukipa maana hiki ninachokiandika hapa, nitawaita Wajinga au Wapumbavu.

Aina hii ya watu ni wale ambao either hawajasoma kabisa au wana elimu ya msingi na wapo very little informed kuhusu mambo yanavyoendelea Tanzania na duniani!

Ninachokipenda kwa watu hawa, wana furaha muda wote! Yaani utawakuta wanatabasamu na kucheka all the time, hawana stress kabisa mioyoni mwao na ikifika usiku wanalala kwa amani kabisa.

Kadiri unavyojiongezea maarifa, unavyojua mengi zaidi na kuwa well informed kuhusu kila kitu kinachoendelea, huzuni moyoni inaongezeka. Inaongezeka kiasi kwamba moyo unakuuma mchana na usiku hulali kwa raha.

Kadiri unavyozidi kujua zaidi, unapata maswali mengi zaidi yasiyo na majibu!

Ule mstari unaosema "Kwenye wingi wa maarifa kuna wingi wa huzuni, na yeyote ajiongezeaye maarifa anajiongezea huzuni" ni wa kweli kabisa. Na leo nimejua kwamba, the less you know, the happier you are!

Bora niwe mjinga kwa kweli, nimevurugika na huu mchakato wa uchaguzi! Nahisi nitapasuka.

mjinga au mpumbavu ni yule anaejiona ana maarifa,kumbe HEWA tu!!
Heri kubaki pazia kuliko bendera kufuata upepo!
Mlionywa hamkusikia!..,mfe tu kabisa na hizo stress,maana hamna namna nyingine!
 
You are not alone brother, the same applies to me. Nahisi kama napasuka kwa kweli, kila kikishuhudia kinachoendelea sasa napata hasira kabisa yaani. Eee Mungu nisaidie
 
mjinga au mpumbavu ni yule anaejiona ana maarifa,kumbe HEWA tu!!
Heri kubaki pazia kuliko bendera kufuata upepo!
Mlionywa hamkusikia!..,mfe tu kabisa na hizo stress,maana hamna namna nyingine!
Ficha upumbavu wako na utoto nyau wewe.
 
Umesema kweli mkuu kichwani nimevurugikiwa kbs sjui kama itanilazimu kufanya nini ili niwesawa, nina hasira hata kwa kitu kidogo, no usingizi hata mamsapu simkumbuki naniliu yenyewe haijasimama tangu zilipobaki wiki 2 kufikia uchaguzi hata nahisi network hakuna.
 
Nimependa spirit yako.....umeniambukiza walah
yeah hamna kukata tamaa. hivi mbona mtu unaamka kutafuta mkate unapo ukosa ndo kusema kesho hutorudi? kubadilisha taifa la wajinga si kazi ndogo ni vita nzito haswaa lazima kuwa na mikakati mifupi na mirefu hata kama plan itatimia miaka 20 ijayo uratibu wake hautakiwi kuwa wa mashaka hata kidogo. yes we can, and we will save our nation
 
Umesema kweli mkuu kichwani nimevurugikiwa kbs sjui kama itanilazimu kufanya nini ili niwesawa, nina hasira hata kwa kitu kidogo, no usingizi hata mamsapu simkumbuki naniliu yenyewe haijasimama tangu zilipobaki wiki 2 kufikia uchaguzi hata nahisi network hakuna.

Hahahaha mkuu umenichekesha sana,pole na jiamini....mambo ndio kwaaanza yameanza.
Mungu yupo nasi, hajatutupa kabisa.
 
Tatizo watu wana mahaba na chama, mlitakiwa mchague kiongozi anayefaa na sio chama
 
ifike hatua mambo ya kusaidiana ndugu kulipiana karo, kusaidia huduma za afya. kuwapa watu chakula sijui mavazi eti unawahurumia wana shida huo wakati umepitwa kila mtu aji fight mwenyewe sababu nina uhakika wasio utaka uongozi wa ccm hawana shida wengi wanajiweza kiuchumi na ndo watoaji msaada wakubwa kwa ndugu zao. hakuna kuchoka maandalizi ya uchaguzi wa 2020 ni sasa makosa na mafanikio ya vyama vya upinzani yanapaswa kufanyia kazi kuanzia hivi sasa. mimi sikati tamaa ndo kwanza nimepata hali ya kutoa elimu. ujinga ni ghali sana

Mkuu umenena hapo kwenye kusaidiana;Nipo Ngara huwezi amini mkuu yaani watu wa huku ni hopless kabisa eti wamemchagua Mbunge wa CCM ambaye hajawahi wasaidia kwa chochote na kumwacha Mbunge wa CDM ambaye ni Dr.amewasamnazia Solar kwenye Vituo vya Afya,Amesaidia ujenzi wa maabara za Sekondari,Ujenzi wa madarasa,na aliahidi km wakimchagua angefanya mengi zaidi ya hayo lkn walichokifanya ni kuchagua Pumba na kuacha mchele,sasa dawa yake ni kuyaacha hivyo hivyo yateseke bila kuyaonea huruma,pumbavu kabisa.
 
Elimu,elimu,elimu
.....watanzania wengi ni majuha......
 
Mkuu umenena hapo kwenye kusaidiana;Nipo Ngara huwezi amini mkuu yaani watu wa huku ni hopless kabisa eti wamemchagua Mbunge wa CCM ambaye hajawahi wasaidia kwa chochote na kumwacha Mbunge wa CDM ambaye ni Dr.amewasamnazia Solar kwenye Vituo vya Afya,Amesaidia ujenzi wa maabara za Sekondari,Ujenzi wa madarasa,na aliahidi km wakimchagua angefanya mengi zaidi ya hayo lkn walichokifanya ni kuchagua Pumba na kuacha mchele,sasa dawa yake ni kuyaacha hivyo hivyo yateseke bila kuyaonea huruma,pumbavu kabisa.
Tutaheshimiana sana watu wavijijini ndo hawana maji,hawa afya, hawana barabara yani ingekuwa inawezekana watu wa mijini tuchange hata pesa kwa mikoa ya Dar,arusha,mbeya na kilimanjaro. mnatandaza barabara ya lami kila mtaa, mnajenga hospitali za kisasa yani tunafanya maendeleo kwa jasho na damu. ndugu yako wa bush akiomba mchango hata wa karo, au pesa ya dawa mwambie huna pesa zote zimeenda kwenye shughuli za maendeleo maamuzi magumu hadi tuheshimiane
 
I arrived to the same idea yesterday, full stress the whole day, then i chose to tune to other chanels watching comedies, n tv programs. From there, i felt a bit better n i slept well. Sometime we need to switch parts of our minds off.

It works
 
Am that kind of person who smiles no matter what but kwa hili dah I fail to put the fake smile,I wish tuingie road tuwatoe hata kwa nguvu kwa sababu hawataki kubadilisha katiba tupate tume huru ya uchaguzi,that means we will never ever win against these devils of CCM.Naona aibu kusema mimi ni Mtanzania.
 
kweli mkuu,me sitak hata kuangalia itv

roho inauma:eek2:
Khaa!! Bana acha ujinga. Kuna kazi kedekede za kufanya ili maisha yaendele kama zamani. Acha kubweteka chapa kazi :angry:
 
Back
Top Bottom