dannysteve
Member
- Feb 4, 2017
- 5
- 2
Vigezo vya kusoma certificate ya law
Wadau naomba kuuliza nina kijana nataka asome Certificate in Law je qualification zake ni zipi na vyuo gani vinatoa hiyo cerficate (Arusha au Dar es Salaam)
Hivi hiyo shule haina tovuti ambayo unaweza kwenda na kujipatia hizo taarifa?
Pia haina hata kijarida kilicho na hizo taarifa unazotaka kuzijua?
Asante Hamza36CERTIFICATE IN LAW
Entry Qualifications:
An applicant must hold at least a Certificate of Secondary education Examination (CSEE) with a minimum of Five Passes "D" one of which must be English
Typing error Mkuu,Tanganyika law school ndiyo nini mkuu?
mkuu ada ni shingapi?Asante Hamza36
HaweziWakili wa Uganda anaweza kusimamia mkataba wa kuuza gari Tanzania?
Sect 8 Adv Act,sect 39 imeeleza utaratibu.Practice for 5 yrs in Zanzibar or CJ anamamlaka ya kukuruhusu kupractice bara kama utaomba na akiona inafaa.Utaratibu ukoje ukitaka kusomea uwakili wa sheria kwa Zanzibar kisha baadae ukaja kufanya kazi kama wakili hapa Tanzania bara.
dyh hatari kwa hiyo ni kukomoa au uelewa mdogo mpaka kufeli hivyo ?mnafanya pepa watu 250 wanafaulu 20 shikamoo LST