The Law School of Tanzania - Maswali na majibu

Lini maombi ya kujiunga law School hufanyika? Je inawezekana kuunganisha masomo yaani 2020 unapata digrii ya Sheria na kugraduate Desemba halafu januari ukajiunga na law school?
 
Kuunganisha haiwezekani,maombi ni October na wanaunganisha intake ya January na ya July.Vyuo vingi wanamaliza November hivyo huwezi kuwa na transcript by October.Wanafungua dirisha August mwishoni ukiingia kwa website yao utakuta.
 
Asante kwa taarifa. Hivyo tujipange tu kuomba hiyo august kwa ajili ya intake za januari na July 2022! Ni mbali Sana huko Ila hakuna jinsi!
 
Mkuu naomba unixaidie kesi ya trust bank Vs le marsh ya mwaka 2000 case no 4 high court commercial division
 
Asante kwa taarifa. Hivyo tujipange tu kuomba hiyo august kwa ajili ya intake za januari na July 2022! Ni mbali Sana huko Ila hakuna jinsi!

Ukimaliza tafuta transcript then nenda siku ya usajili Mkuu ila uwe na ada yao pia. Huu utaratibu hapa kati kati umekuwa mgumu ila kwa hii corona utaweza fanikisha sababu wanafunzi ni wachache ada na accomodation inasumbua
 
Samahan nilitaka kuuliza kama ukitaka kusomea uhakimu unatakiwa usomee nn ukiwa chuo mpaka kufikia uhakimu
Uhakimu huwa hausomewi but Soma kozi ya Sheria especially bachelor of laws (LLB) then uende law school ndoo unaweza ukawa na vigezo vya kuomba uhakimu mahakama wakitoa nafasi
 
Back
Top Bottom