The Law School of Tanzania - Maswali na majibu

Wadau naomba kuuliza nina kijana nataka asome Certificate in Law je qualification zake ni zipi na vyuo gani vinatoa hiyo cerficate (Arusha au Dar es Salaam)
 
ANAELEWA BACHELOR OF HEALTH SYSTEMS MANAGEMENT(MZUMBE UNIVERSITY) MSAADA NIMESOMA (HGL) NAEZA APPLY MSAADA WAKUU.
 
Utaratibu ukoje ukitaka kusomea uwakili wa sheria kwa Zanzibar kisha baadae ukaja kufanya kazi kama wakili hapa Tanzania bara.
 
habari...., niliwahi fanya kazi ktk shule moja ya binafsi.
Wakaja watu wa NSSF wakatusajiri ktk mfuko huo wa nssf. Mwaka 2011, makato yalikuwa aslimia 10 ya mshahara wangu.mwaka 2015 nikapata ajira serikalini hadi sasa. Makato bado nakatwa asilimia kumi na mkurugenzi anapeleka aslmia, 10...

Msada naomba mnipe mwongozo nn nfanye ili niwe nachangia asilimia 5 kama watumishi wenzangu kwenye mifuko mingne na mkurugenzi achangie asilimia 15...
 
Kuna hizi hoja tatu nimeshindwa kuzielewa wakuu naona kama hazijakaa vizuri, wajuzi washeria naomba tafsiri ya hizi sentesi binafsi nimeshindwa kuzielewa

1.That the trial tribunal erred in law and in fact by entertaining the matter filled by the respondent who had no locus standi to sue

2.That,the trial tribunal erred in law and in fact by deciding against the appellants favour while he had strong evidence

3.That,the trial tribunal erred in law and in fact by entertaining the matter as it did while it was res judicata

Naomba msaada wa tafsiri kisheria juu ya hizo sentesi wakuu
 
Back
Top Bottom