Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
-
- #101
Kuhusu mimi binafsi??The bold nina maswali kadhaa ambayo ni privacy zako.... nlitaka niyajue......
Sa cjui km unanipa go ahead hapa hapa au utanichek inbox.
Its about.
Carrier.
Education.
Plans.
Residing.
E.t.c
Sema nini...nimekuja pande zile DIGITALDRIEMZ duh...full masotojo aiseee we sio mtu mzuriHahahahah.. Shukrani
Yah kuhusu weweKuhusu mimi binafsi??
OK! Nitaeleza siku muafaka ikija..Yah kuhusu wewe
Zote tatu nimezipitia nilikuwa naulizia za mbele mkuu ......Pamoja sana.Kwa sasa nimeweka sehemu tmya kwanza hapa na muendelezo sehemu ya pili na ya Tatu kwenye tovuti yangu.. Kuanzia sehemu ya nne itaendelea wiki kadhaa zijazo
Bila shaka Mkuu..ka mkubwa ukitupia tena usisahau kukumbuka kiniTAG!!!!
Hujachelwa sana..Dah nimekawia kuiona.naamini sijachelewa.
Amen! Shukrani sana Mkuu..Hongera sana The Bold , nimeweza kuingia kwenye web yako.Nakutabiria itakuwa kubwa sana