The Kenyan boy who grew up to be a woman.


Rutashubanyuma

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
169,609
Likes
715,069
Points
280
Rutashubanyuma

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
169,609 715,069 280


[h=1]Andrew Mbugua in court struggle to alter name in certificates[/h]

Alizaliwa na kuitwa: Andrew mbughua.

Sasa ajulikana ya kuwa: Audrey Mbughua Ithibu.

Sokomoko lilianza miaka saba baada ya kumaliza High School na kubainika ana mapungufu yaitwayo "Gender Identity Disorder".

Kufuatia uchunguzi huo wa kitaalamu basi Andrew akafanya operesheni na kujigeuza jinsia yake na kuwa mwanamke. Kivumbi kilianza alipoanza kubadilisha vyeti vya shule ili awe Audrey badala ya Andrew na baraza la Mitihani la Kenya KNEC limemgomea na hivyo kukimbilia mahakamani apatiwe fidia anayostahili.

Life is complicated!
 
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
15,198
Likes
600
Points
280
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
15,198 600 280
Mkuu Rutashubanyuma dunia ina vituko na wazee walivyosema kua uyaone hawakumaanisha ni maghorofa ila mambo ya dunia hii
 
Last edited by a moderator:
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
18,449
Likes
6,238
Points
280
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
18,449 6,238 280
Mhnn, haya bana... ila angalau hivyo kuliko kama angeamua kuwa 'soga' ya watu kupiga mtaani
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,078
Likes
392
Points
180
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,078 392 180
Sasa huyu si ni mgonjwa? Na ugonjwa wake hauna tiba?
Wamwache awe mwanamke tu, we live once.
 
Ndallo

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Messages
7,392
Likes
1,569
Points
280
Ndallo

Ndallo

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2010
7,392 1,569 280
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni!
 
cabhatica

cabhatica

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Messages
1,077
Likes
34
Points
145
cabhatica

cabhatica

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2010
1,077 34 145
Ushauri:
Abaki tu kuitwa Andrea hata kama jinsia imebadilika. There is nothing wrong with the names! Hata, hivyo wengi hatukuchagua majina tuliyonayo, tulipewa tu tena hata bila ya kushirikishwa na mambo yanakwenda. Life is simple if you make it so.
 
Mvaa Tai

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2009
Messages
6,177
Likes
2,230
Points
280
Mvaa Tai

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2009
6,177 2,230 280
Kweli maendeleo yanakuja na vitu vyake kwakweli ukiangalia Wakenya kimaendeleo wapo juu kidogo ukifananisha na nchi zingine za East Africa, na huko ndo tunasikia mashoga wameandamana wanataka haki ya kutambuliwa kama wenzao wa Ulaya. Kama vipi mimi maendeleo siyataki
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,692
Likes
3,661
Points
280
Age
46
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,692 3,661 280
huu ni ugonjwa tena ambao amezaliwa nao.
nafikiri baraza la mitihani wamamdhalilisha sana
walitakiwa wawe wamefikiri juu ya hali kama hii kabla
 
MESTOD

MESTOD

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
4,771
Likes
336
Points
180
MESTOD

MESTOD

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
4,771 336 180
Huyu ni mgonjwa na kazaliwa nao. Ila, dah,
 
S

Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Messages
2,906
Likes
72
Points
145
S

Shadow

JF-Expert Member
Joined May 19, 2008
2,906 72 145
[h=1]Andrew Mbugua in court struggle to alter name in certificates[/h]Updated Wednesday, May 29th 2013 at 10:15 GMT +3

By PAMELA CHEPKEMEI
Nairobi, Kenya: A landmark case before the High Court could have far reaching implications on how persons of transgender are treated.

0
inShare​
It involves a woman, born 29 years ago as Andrew Mbugua Ithibu, but who chose to change her gender. Unable to win Government recognition of her new status as a woman, Audrey Mbugua Ithibu has now taken the battle to court.
She accuses the national examinations body of preventing her from being employed by refusing to change her academic certificates to reflect her current gender status.
Audrey's case seeking orders to compel the Kenya National Examination Council (Knec) to change her names in the examination certificate is unprecedented in Kenyan courts.
Audrey says she was born male and diagnosed with Gender Identity Disorder seven years after completing High School and scoring a grade of A-minus.
Born in January 1984, she studied at Kiambu High School where she sat her secondary school national examination under the name Andrew Mbugua Ithibu. After completing High School in 2001, Andrew decided she wanted to be a female and chose the name Audrey.
"I was born male 29 years ago and I started my medical transition to be of the female sex a couple of years ago to replace Andrew, "she says in an article.
Deed poll
She changed her first name legally from Andrew to Audrey last year through a deed poll and gazette notice. She was treated at Mathare mental hospital and subsequently issued with a psychiatrist medical report stating that she had been diagnosed with Gender Identity Disorders/Transsexualism in 2008.
Currently, a project officer at a transgender lobby, Audrey says she has attempted to undergo surgery to become a woman but the medical authorities have complicated matters for her.
Her efforts to seek help from the Commission on Administrative Justice (CAJ), requesting the Government agency to intervene for her to access her gender reassignment surgery did not bear fruit. The Commission told her the matter does not fall under its mandate. Audrey adds that she has faced many difficulties in the process of trying to change her national identity card, and passport.
 
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2008
Messages
3,614
Likes
47
Points
145
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2008
3,614 47 145
huu ni ugonjwa tena ambao amezaliwa nao.
nafikiri baraza la mitihani wamamdhalilisha sana
walitakiwa wawe wamefikiri juu ya hali kama hii kabla
Dunia ina magonjwa na mambo mengi mabaya. Nikifikiria matatizo kama haya, huwa nakosa la kusema na huishia kumuomba Mungu kwa ajili ya familia na ndugu wote ili atunusuru na magumu ya dunia.
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,692
Likes
3,661
Points
280
Age
46
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,692 3,661 280
Dunia ina magonjwa na mambo mengi mabaya. Nikifikiria matatizo kama haya, huwa nakosa la kusema na huishia kumuomba Mungu kwa ajili ya familia na ndugu wote ili atunusuru na magumu ya dunia.
HP ni kweli kwamba dunia ina magonjwa mengi sana tena ambayo huwez hata kudhan ndivyo yalivyo. Binafsi nimewah kuona watu wenye magonjwa ambayo huwez hata kudhani kwamba ni binadamu ama ni nin lakin wanaish sasa je tuwanyanyapae kwasababu ya hali kama hii??

binafsi huwa sipendi kabisa mtu kumnyanyapaa mgonjwa awe hata kama ni wa kuharisha kwani ingawa anaambukiza lkn asaidiwe kwa upendo na kwa matumaini. hili baraza la mitihani wamekosea sana na hata mtoa mada kakosea kusema DUME lugha ambayo imekaa kikejeli zaid.
 
S

Sometimes

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Messages
4,562
Likes
370
Points
180
S

Sometimes

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2010
4,562 370 180
Nalikumbuka sakata la Caster Semenya wa Afrika ya Kusini aliyekumbwa na kadhia kama hiyo!
 
Peaceful Warrior

Peaceful Warrior

Senior Member
Joined
May 28, 2013
Messages
119
Likes
19
Points
35
Peaceful Warrior

Peaceful Warrior

Senior Member
Joined May 28, 2013
119 19 35
ndo ipi hyo, au nilikuwa bado kuzaliwa
 
IGWE

IGWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
8,826
Likes
3,162
Points
280
IGWE

IGWE

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2011
8,826 3,162 280
HP ni kweli kwamba dunia ina magonjwa mengi sana tena ambayo huwez hata kudhan ndivyo yalivyo. Binafsi nimewah kuona watu wenye magonjwa ambayo huwez hata kudhani kwamba ni binadamu ama ni nin lakin wanaish sasa je tuwanyanyapae kwasababu ya hali kama hii??

binafsi huwa sipendi kabisa mtu kumnyanyapaa mgonjwa awe hata kama ni wa kuharisha kwani ingawa anaambukiza lkn asaidiwe kwa upendo na kwa matumaini. hili baraza la mitihani wamekosea sana na hata mtoa mada kakosea kusema DUME lugha ambayo imekaa kikejeli zaid.
Huo ugonjwa analiozaliwa nao ndio upi(unaitwaje)_mmmmh?
 
Prisoner 46664

Prisoner 46664

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2010
Messages
1,952
Likes
46
Points
145
Prisoner 46664

Prisoner 46664

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2010
1,952 46 145
Kumuita dume ni makosa
huyu ana tatizo
ni ugonjwa wa kisaikolojia..
ni tatizo kazaliwa nalo.sio vizuri kumkejeli
No offence bro,
Ila ni ushetani tu huu..
God made everyone a masterpiece!
Kwanini 1930s hizi disorders hazikuwa nyingi hivi?
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Likes
90
Points
145
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 90 145

Sexuality, gender and all other categories by which we categorize and dismiss each other need to be excavated from the inside. By the way Life is 10% of what happens to you and 90% of how you react to it.


 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Likes
90
Points
145
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 90 145


Andrew Mbugua in court struggle to alter name in certificatesAlizaliwa na kuitwa: Andrew mbughua.

Sasa ajulikana ya kuwa: Audrey Mbughua Ithibu.

Sokomoko lilianza miaka saba baada ya kumaliza High School na kubainika ana mapungufu yaitwayo "Gender Identity Disorder".

Kufuatia uchunguzi huo wa kitaalamu basi Andrew akafanya operesheni na kujigeuza jinsia yake na kuwa mwanamke. Kivumbi kilianza alipoanza kubadilisha vyeti vya shule ili awe Audrey badala ya Andrew na baraza la Mitihani la Kenya KNEC limemgomea na hivyo kukimbilia mahakamani apatiwe fidia anayostahili.

Life is complicated!

Sexuality, gender and all other categories by which we categorize and dismiss each other need to be excavated from the inside. By the way Life is 10% of what happens to you and 90% of how you react to it...
 

Forum statistics

Threads 1,273,867
Members 490,535
Posts 30,494,018