Nitayajibu yote niko njiani sijasettleMimi ningependa kujua kama kweli hii sehemu inaitwa gamboshi ipo au ni story tu za kutengeneza? na kipi ni cheo kikubwa zaidi katika uchawi? ni qualification zipi anatakiwa kua nazo mkuu wa wachawi?
Waendao kuzimu ni wafuBado yupo kuzimu!
Sijawahi kuroga wala kufanya uchawi na ushirikina... Ni elimu tu ndugu yanguNingependa kujua ni wapi amejifunzia elimu ya uchawi na kuroga..
Gamboshi ipo ni kijiji cha kawaida machoni pa wengi ila kwenye dunia ya giza ni habari nyingineMimi ningependa kujua kama kweli hii sehemu inaitwa gamboshi ipo au ni story tu za kutengeneza? na kipi ni cheo kikubwa zaidi katika uchawi? ni qualification zipi anatakiwa kua nazo mkuu wa wachawi?
Nipo site karibuMajbu yanachelewaaa jamnii... Hamu
HapanaUnadawa ya kumvuta mpenzi?!
Kutoka vyanzo mbalimbaliHii elimu ya uchawi umeipata wapi?
Three someHizo mambo za kichawi ni Kipaji, kazi au copy and Paste from somewhere?
Mzaliwa wa Tanga. .LushotoMshana Jr,umezaliwa mji, mkoa gani Tanzania.
Sorry kaka nilikuwa na dharura Msata ikabidi nirush niko huku sasaMshana jr karibu kaka ulipotea nikaamua niupotezee uzi maana watu kwanza waliuharibu ila kwasababu tulishapanga kufanya basi hatuna budi. Karibu
Sio shuleni tu hata kwenye biashara nyingi hasa zile zinazokua kwa harakaNi kweli kwamba sehem ambazo kunamkusanyiko wa watu wengi especially mashuleni, ni lazima mmiliki atumie uchawi ili aweze kuisimamia iyo sehemu?
Asante.
Kabla hatujafika mbali. Kwenye avatar ni wewe?
Ndio ni Mimi halisi.. Naingia meditation nitarejeaJe hyo avatar ni wewe?
Hapana sijawahi shika hata tunguli.nafanya kazi za kawaida kabisaPili, mshana ni nani? Wewe ni mrogi, mlozi au nani? Kuna uhusiano wowote na elimu unayokuwa unaitoa hapa JF?
Kinachorogwa ni kitu sio dhana.. Serikali ni dhanaMkuuu mshana kwanini inaaminika kua serikali hailogeki?.