The Institute of Finance Management (IFM) - Special Thread

PowerWithin

JF-Expert Member
Mar 8, 2014
646
501
Wadau wa IFM umma na wanafunzi kuanzia Basic Certificate, Certificate, Ordinary Diploma, Higher Diploma, Bachelor Degree, Master Degree na kadhalika mabibi na mabwana karibuni tufahamishane kuhusu Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kuanzia intake ya 2016/17 na kuendelea na hata kurudi nyuma.

Karibuni wote!

=================
Mods wa jukwaa hili tunaomba huu uzi uwe sticky kwa reference ya kizazi cha leo na kijacho. Asanteni kwa niaba ya wadau wa IFM.
 
Kasomeni huko Wakuu! TIA naona wanakuja kwa kasi. Watawakimbiza msipojiangalia.

Anyway,uzi nimeuingilia tu! Samahanini lakini!
 
Ukiingia kwenye moja ya ma group kuna link ya kukupeleka Telegram IFM first year wote 2016/17
 
Kasomeni huko Wakuu! TIA naona wanakuja kwa kasi. Watawakimbiza msipojiangalia.

Anyway,uzi nimeuingilia tu! Samahanini lakini!
Hatufanyi ligi na vyuo vingine mkuu. Vyuo vyote vya elimu ya juu ni washirika wenzetu kimaisha na kielimu. Hatuna ligi na washirika wenzetu. Tu familia moja
 
Daah kitambo...nimemaliza BAC 2011...c vby kama nikaunganishwa watsapp.
 
After Semester ya Kwanza Tunaomba Musisahau Kupost na Matokeo Yenu Huko Kwenye Magroup Yenu..
 
Salaam, napenda kuuliza utaratibu wa kupata hosteli ? Na ni bei gan kwa semister , locations ?
Je naweza mtu akanishikia chumba huko hosteli za chuo?
Msaada wenye ujuz
 
Back
Top Bottom