The University of DODOMA-UDOM

mhuri25

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
2,667
3,454
Kwa wale wote tuliopita Chuo kikuu Cha Dodoma kwa levels zote kuanzia Certificate, Diploma, degree, postgraduate diploma, masters Hadi PhD kutoka ndaki na Shule zote kama College of Humanity and social sciences, University of Dodoma college of Business and Law, College of informatics and virtue Education, College of Earth sciences, College of Education na wale wa College of Health sciences karibuni Sana kwenye ukurasa huu maridhawa kabisa lengo kushare moments zote pale na kutia msaada na muongozo kwa wale wote wanaotegemea kujiunga pale, Hata wajasi hatujawasahau mnakaribishwa Sana!!!

UDOM_Embracing Knowledge!!!
 
Mkuu nimepata hapo diploma ya pharmacy je ni lazima kwenda na cheti cha form six au ?
 
Kwa wale wote tuliopita Chuo kikuu Cha Dodoma kwa levels zote kuanzia Certificate, Diploma, degree, postgraduate diploma, masters Hadi PhD kutoka ndaki na Shule zote kama College of Humanity and social sciences, University of Dodoma college of Business and Law, College of informatics and virtue Education, College of Earth sciences, College of Education na wale wa College of Health sciences karibuni Sana kwenye ukurasa huu maridhawa kabisa lengo kushare moments zote pale na kutia msaada na muongozo kwa wale wote wanaotegemea kujiunga pale, Hata wajasi hatujawasahau mnakaribishwa Sana!!!

UDOM_Embracing Knowledge!!!
Udom bhana wameona udsm wana Coet nao wakaunda Coed
 
Hahahahahaaa nadhani Novemba ile nimeingia zangu Dom nikafikia lodge palipokucha kulikuwa na mdau wangu nikaacha mizigo yangu nikadandia boda nikapandisha chuo.... The very first day naenda kuregister,sasa baada ya kutoka utawala mkuu nikapanda boda nikaingia utawala social, sasa nikajikuta natakiwa nirudi tena utawala mkuu, nilivyoona daladala zinatoka humanities nikadandia chap kusevu hela maana nilipaona ni karibu mno kipindi naletwa na bodaboda mara paap naona tunapita geti kuu pale mara hamad tunaishusha ile down baada ya chimwaga pale, nikamtonya konda oya nishushe kituo kinachofuata, akaniuliza MAKULU? wakati sikijui nikamwambia ndio, kufika nikashuka nikazuga naingia shop kuchukua vocha then nikavuka upande wa pili wa kituo kurudi chuo nikadandia za education/ng'ong'ona bila kuuliza ila uzuri ilikuwa inapitia njia ya utawala mkuu haikunyoosha pale njia panda benki.. nikashuka naona lile libarabara lireefu jengo lipo mbali jua la Dodoma limeshachanganya nikanyakua hatua pale..

kumbukumbu nyingi sana nzuri UDOM nakihusudu sana kile chuo, ingawa kuna lecturer mmoja muhindi ***## yule popote pale alipo na pia walikuwa wanakera kwenye mazingira ya kutegeana ili tupigane mafine ya kukomoana kwenye time extension ya tafiti..
#Embracing Knowledge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom