Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,954
Fanya hivyo watu wanafunga kula ili wapate mke , muweke Mungu kwny mipango yako hatokuangusha kabisa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
By the way, nimenotice introvert mwenzanguFanya hivyo watu wanafunga kula ili wapate mke , muweke Mungu kwny mipango yako hatokuangusha kabisa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani namaanisha wewe ni introvert, nimekunotice from uzi mwingine
Yaani namaanisha wewe ni introvert, nimekunotice from uzi mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani namaanisha wewe ni introvert, nimekunotice from uzi mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kuwa introverted sio lazima uwe stressed out.Sio sana kuna watu mule ni introvert mm ni mchangamfu balaa , napenda kuuliza maswali yaani mule kuna watu wana stress debe .
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kuwa introverted sio lazima uwe stressed out.
Mfano hapa moyo wangu mweupee mwepesii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo namba mbili hapo ndio penyewee.. halafu angalia hizo similar 😀
Kinachotia moyo ni kwamba watu mnaopenda kujidai kuweka ma vigezo mia kidogo hua mnakuja kuoa maguluguja ambayo hayana hata moja kati ya vigezo hivyo ulivyotaja na maisha yanaenda.
Kumpata mwenye sifa hii mbona kazi unayoKuwa straight forward. Itakuokoa muda na energy. Say what you mean and mean what you say.
Ni ngumu najua. Sema kizuri hakiji kirahisiKumpata mwenye sifa hii mbona kazi unayo
Kweli kabisa