- Thread starter
- #21
Nzuri mkuuKwangu Ideal woman aniheshimu na kunipenda.
-Na huko kuniheshimu na kunipenda sio kwasababu ya jambo fulani/wakati fulani. Hata kama sipo aweze kukiri toka moyoni ananiheshimu na kunipenda.
Kwa kweli bro.Usijali mkuu. Tuombe uzima tu
Sijui nani kaifunga.....ananitakia mabaya.
Kinachotia moyo ni kwamba watu mnaopenda kujidai kuweka ma vigezo mia kidogo hua mnakuja kuoa maguluguja ambayo hayana hata moja kati ya vigezo hivyo ulivyotaja na maisha yanaenda.
Huwa hamnaga ideal person in reality lakini atakayekaribia the most ndio atabeba medali.An Ideal woman !!!.....
Una qualities zinazoendana nae ???...
Be careful with what you wish for
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe nilidhani ni mimi peke yangu hadi hapo kaka mkubwa alipo sema mumekweli nna usingizi mwanzo nilijua ni mwanamke mpaka sentensi ya mwisho imenibadili mtazamo...samahani mkuu
Labda kwa upande wa ke.
Labda kwa upande wa ke.
Ila kwa wanaume tuna a lot of time ya kutafuta hadi kupata
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna wala jamani
AsanteNyie mna hiyo advantage tofauti na ss usuburi ufatwe kila la kheri ktk hilo .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntafurahi sana ikiwa hivyoprifarabli Vigini mari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1420][emoji1420][emoji1420]
Kama utaona inafaa wake pia PM haikatazwi ila haikuwa lengo la thread[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu Uzi sio serious so msitoe povu.
....ko unamaanisha wadogo zangu wasije pm?[emoji16][emoji16][emoji16] ama ndo vitisho vya no 3?
..... Dunia imebadilika ukute humu kuna 24yrs no 3 ni shida? Wahenga tulikuwaga na nidhamu ya woga[emoji23] ni mwendo wa kuogopa mama atanichapa[emoji16][emoji16]