kutoelewa namna ya kuishi kwenye hizo laws...ukiviolet law moja inakurudisha nyuma...
Kwa mfano..ukiwa na kiasi kidogo cha pesa halafu unajua kabsaa una maisha magumu kisha ukaenda kuitoa sadaka ile pesa ujue itakukost sana na universe itakupanish kwa kukupa maisha magumu zaidi ya uliyokuwa nayo kwa sababu umeviolet law of gratitude...hujaonesha moyo wa kushukuru ulichokuwa nacho ila umeamua kukipoteza wakati maisha yako yanahitaji pesa nyingine..
Tunadanganywa na usemi kuwa toa ulichonacho mungu atakurudishia...ni uongo huo ni usemi wa watu wanaotaka uondeleee kuwa omba omba..
Utakapopoteza hiyo buku kwa kutoa sadaka tayari utakuwa unaanza kuwaza umaskini na hiyo hali itasababisha universe kurespond kwa kukuletea maisha ya namna hiyo..
Ndo mana maskini hawatoboi...kujifanya wanazo halafu wanacreate mazingira tena ya kukosa..
..unapokuwa huna pesa tayari mind yako inapaniki unaanza kuwaza umaskini tena kichwani mwako hali hiyo inakuwa chronic ambapo law of attraction inakuza jambo lile kwa sababu unakuwa umeconcetrate na neno umeskini kichwani mwako hrnce mind inavibrate towarda hilo jambo hence thr universe inakuja kurespond kwa kukuletea mazingira yale yale unayo yawaza muda mrefu....