lifecoded
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 1,424
- 4,325
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah nimemaliza nimechelewa kuuona huu uzi aisee nitakuwa naamkia intelligence huku
I don't
I don't understand, it seems like watu wanaoishi hizi kanuni wanaishia kuishi tu ila hawako rich(money) why?
Huyu jamaa ni kama "father Christmas" heshima kwako mkuu IGWEnatambua uwepo wake sana...hana mambo ya kinafiki kama wale jamaaa wa vifungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawakubali sana wale jamaaa wakiomeza vifungu vya maandiko matakatifu...Huyu jamaa ni kama "father Christmas" heshima kwako mkuu IGWE
post#45 imejibu swali lakoI don't
I don't understand, it seems like watu wanaoishi hizi kanuni wanaishia kuishi tu ila hawako rich(money) why?
Ni kweli. Lakini it seems like law of attraction ndiyo kila kitu.
has nothing to do without law of vibration...Ni kweli. Lakini it seems like law of attraction ndiyo kila kitu.
Unasemaje?
Mkuu kuna ile The Law of Action nadhani umeisahau, mawazo yako lazima yaendane na action zako ili kufanikisha jamboMbona huu ni mwaka wa 7 nawaza utajiri wa Tsh millions 100+ na sijafikia hata millions 20+?
Nakuuliza sababu umesema yale tunayoyawaza sana lazima yatokee.
Usiniambie bado sijawaza vizuri sababu nawaza hadi nikilala naota kuwa mawazo yangu yametimia
Basi angeiambatanisha kwenye uzi wakeMkuu kuna ile The Law of Action nadhani umeisahau, mawazo yako lazima yaendane na action zako ili kufanikisha jambo
Law of attraction.Mkuu kuna ile The Law of Action nadhani umeisahau, mawazo yako lazima yaendane na action zako ili kufanikisha jambo
3) The Law of Action [Sheria ya Hatua]
Ameiambatanisha mbona ipo nafasi ya 3 kwenye mtiririko wake.Basi angeiambatanisha kwenye uzi wake
Ngoja nirudiAmeiambatanisha mbona ipo nafasi ya 3 kwenye mtiririko wake.
So una-vibrate kwanza then una-attract siyo?has nothing to do without law of vibration...
kama huvibrate towards what you want,the law of attraction wont help ya anything
Sent using Jamii Forums mobile app