Sasa hapa utapata nafasi ya kuongea na watu walioishi na Nyerere na kwenda Ikulu na kumuomba tausi mmoja tumchukue tuende naye nyumbani, na Nyerere akalifikiria jambo hilo na kucheka.Mkuu uko detailed sana unachosema kinawezekana. Sikuishi kipindi chama kimeshika hatamu mambo mengi nimejufunza tuu. Kuna speech moja ya Nyerere sikuweza kuilewa kwa haraka. Nilipoona na hiki chenu tena kinanipa tabu kukielewa nika refer kwa kile cha Nyerere. However my assumption kuwa mli attend middle school was right.
Nimemwambia kwamba Mama yangu, Mr. Sozigwa, Miss Wickens na Mwalimu Nyerere walifanya kazi Ikulu ya Nyerere pamoja.Assumptions are never good.
When you assume you end up making an ass of yourself and whoever you're making the assumption about.
Hivi enzi za middle school unazijua au unazisikia?
Usiwazeeshe watu namna hiyo bana....there were no middle schools in the 80s and 90s!
Nimemwambia kwamba Mama yangu, Mr. Sozigwa, Miss Wickens na Mwalimu Nyerere walifanya kazi Ikulu ya Nyerere pamoja.
Na bado ana assume kwamba nimesoma middle school na Nyerere?
Is this chap being poetic or what?
You are on "Anger Management" tour as part of a mental health outreach initiative.Mea culpa!
You are on "Anger Management" tour as part of a mental health outreach initiative.
4 weeks.
Upon a successful completion, seeing that you are bent on hygiene, you will get a $200 reward towards a hygiene product of your choice (cologne house etc).
Failure to do so will not only chalk you up as an unreliable polymer, but one that is also not fun.
Almost a failed Scott academic living out his life in a grotesque stupor of a thinly disguised hedonism, that is really very a very accomplished nihilism.
Which is it now?
Mkuu nimekuelewa hujasoma middle school. Pia sidhani wote waliosoma middle school walisoma na Nyerere.Nimemwambia kwamba Mama yangu, Mr. Sozigwa, Miss Wickens na Mwalimu Nyerere walifanya kazi Ikulu ya Nyerere pamoja.
Na bado ana assume kwamba nimesoma middle school na Nyerere?
Is this chap being poetic or what?
You are a gentleman and a scholar.Mkuu nimekuelewa hujasoma middle school. Pia sidhani wote waliosoma middle school walisoma na Nyerere.
Nimekuelewa na shukrani kwa gist of info. Kuhusu Nyerere, na watoto wa AHMwinyi.
Stepping aside from him, and centering on that "translator" idea.He's just a translator, We can see him brilliant or intelligence just because we don't have a habitual of reading different article or books, But for the people who interested on reading it's nat a big deal for them, All in All he's good on planning Stories and all audiences we are enjoying good writing from Him, keep it up
Such a huge recognition from a legend himself.You are a gentleman and a scholar.
A legend and a hero.
Just for that reply.
Stepping aside from him, and centering on that "translator" idea.
Kuna watu nishagombana nao hapa kwa sababu nimewaambia kwamba hawawezi kubishana na mimi kwa sababu nimesoma kazi za Lord Bertrand Russell na wao wameishia kwenye kazi za Lord Jesus.
Kwa sababu hawajui Kiingereza!
Si kwa sababu Kiingereza ni usomi au kina upawa zaidi ya Kiswahili, hasha, nishasema hpo juu Kiingereza kama lugha ni dhalili ukikilinganisha na Kiswahili.
Lakini kimepata kuwa, kwa sababu moja au nyingine, kibiashara, kishistoria, kisiasa etc, kuwa kama alivyosema Nyerere, "Kiswahili cha dunia". Kuna mambo ambayo Kiswahili hata maneno yake hatuna, yameandikwa Kiswahili.
Unapotaka kumueleza mtu katika Kiswahili kwamba huna "multiverse" au "boson particle", utatumia maneno gani?
Sasa kwa mtu asiyejua Kiingereza, hata ukimtafsiria "Hegelian dialectic" kama televisehni ya Zanzibar enzi hizo kwa kusema "Mapinduzi Daima" (wangapi wanakumbuka hili?) utakuwa ushamvusha mto mkubwa wa kufikiri mambo yako bila mapinduzi.
Kuna wahafidhina wanasema kuswahilisha kama ulivyokuita (kutohoa) ni kuchafua Kiswahili.Kiswahili ni lugha nzuri na iliyo tamu sana.
Na ni moja ya lugha zilizo rahisi kujifunza.
Tatizo moja kubwa nilionalo mimi ni ukosefu wa taasisi imara za kukikuza.
Baadhi ya watu hudai Kiswahili hakijitoshelezi kimsamiati kama ambavyo Kiingereza kinavyojitosheleza.
Hiyo dhana sikubaliani nayo. Ni dhana potofu.
Kiingereza kimeazima maneno hadi kwenye Kiswahili! Huko kwenye Kilatini ndo usiseme kabisa.
Kila mwaka taasisi za lugha ya Kiingereza huingiza maneno mapya kwenye kamusi zake.
Kwenye Kiswahili sijawahi kuliona hilo.
Sasa kwa mfano kama maneno flani ya Kiingereza hayapo kwenye Kiswahili kwa nini tusiyaazime na tukayaswalihisha tu ili nasi tuwe nayo?
Mbona mengine tumeyaswalihisha? Polisi tumeliswalihisha...hospitali tumeliswalihisha.....shule tumeliswalihisha...na mengineyo mengi tu tumeyaswalihisha.
Sioni kwa nini tusiyaswalihishe na hayo mengine ambayo hatunayo kwenye msamiati kwa sasa.
Waingereza hadi neno 'safari' wameliazima na kuliingiza hadi kwenye kamusi zao.
Wako radhi kutunga maneno.Nilipata tabu sana katika kutafsiri kitabu cha Brian Greene cha "The Elegant Universe" kuhusu hili.
Hata sisi naamini tunaweza kufanya hivyo hivyo kwa yale ambayo tunaona hatunayo.
Kuna wahafidhina wanasema kuswahilisha kama ulivyokuita (kutohoa) ni kuchafua Kiswahili.
Najua, najua.Actually kuswalihisha ni neno kabisa la Kiswahili.
Hao wahafidhina basi watakuwa ni wajinga wa lugha ya Kiswahili maana Kiswahili ni mseto wa lugha kadhaa na maneno yake mengi yametoka kwenye lugha zingine.
Polisi, rais, wilaya, dunia, shule, baba, kwa mfano tu, ni maneno yaliyoazimwa na kuswalihishwa.
Sasa hao wahafidhina sijui wanazungumzia Kiswahili gani hicho!!
andika kiswahili boya wewe mwenzio kaandika kiswahili.......sasa mtu anakuongelezea kichagga we unamjibu kikurya dah the most intelligent man in JF hahahahahaHahaaaa....you're still hung-up on that huh??
It must hurt not getting Ngabu's attention if I'm still on your brain like that.
You'll get over it, though, with the passage of time, of course.
Other than that, I don't shy away from challenges and I pretty much lay to waste whoever thinks he/she can go toe to toe with me.
But also I don't waste time arguing with driveling idiots. So if I figure out that you're one of them, I give you the stupid treatment that you rightly deserve and I do so in a quick, fast, and in a hurry fashion.
Achana naye.....bure kabisa.At least you got my point. Just swallow the fact. Act and behave like a man, unless otherwise.
Stop being a spoilt brat.
Kuhusu tausi wa ikulu. Umenikumbusha mbali sana. Tulipata kuishi jirani na mtu aliyesemekana kuwatunza hao tausi wa ikulu.Si ajabu atakuwa ni dogo wa 90s huyo.
Na ukianza kuongelea mambo ya tausi wa ikulu sidhani hata wanaelewa unachokiongelea.
Kuhusu tausi wa ikulu. Umenikumbusha mbali sana. Tulipata kuishi jirani na mtu aliyesemekana kuwatunza hao tausi wa ikulu.
Mkuu nilipata nafasi ktk harakati zangu kujadili nguli mmoja wa social linguistics duniani hiyo kauli ya NyerereStepping aside from him, and centering on that "translator" idea.
Kuna watu nishagombana nao hapa kwa sababu nimewaambia kwamba hawawezi kubishana na mimi kwa sababu nimesoma kazi za Lord Bertrand Russell na wao wameishia kwenye kazi za Lord Jesus.
Kwa sababu hawajui Kiingereza!
Si kwa sababu Kiingereza ni usomi au kina upawa zaidi ya Kiswahili, hasha, nishasema hpo juu Kiingereza kama lugha ni dhalili ukikilinganisha na Kiswahili.
Lakini kimepata kuwa, kwa sababu moja au nyingine, kibiashara, kishistoria, kisiasa etc, kuwa kama alivyosema Nyerere, "Kiswahili cha dunia". Kuna mambo ambayo Kiswahili hata maneno yake hatuna, yameandikwa Kiswahili.
Unapotaka kumueleza mtu katika Kiswahili kwamba huna "multiverse" au "boson particle", utatumia maneno gani?
Sasa kwa mtu asiyejua Kiingereza, hata ukimtafsiria "Hegelian dialectic" kama televisehni ya Zanzibar enzi hizo kwa kusema "Mapinduzi Daima" (wangapi wanakumbuka hili?) utakuwa ushamvusha mto mkubwa wa kufikiri mambo yako bila mapinduzi.
Taasisi hazina meno. Tataki (udsm) wanajitahidi kidogo wametafsiri vitabu kadha wa kadha shida inakuja utumizi wa kiswahili uko limited sana ktk elimu. Siku itakapotumika kama lugha ya kufundishia sekondari itakuwa vizuri.Kiswahili ni lugha nzuri na iliyo tamu sana.