The Greatest JF intelligent man

Stepping aside from him, and centering on that "translator" idea.

Kuna watu nishagombana nao hapa kwa sababu nimewaambia kwamba hawawezi kubishana na mimi kwa sababu nimesoma kazi za Lord Bertrand Russell na wao wameishia kwenye kazi za Lord Jesus.

Kwa sababu hawajui Kiingereza!

Si kwa sababu Kiingereza ni usomi au kina upawa zaidi ya Kiswahili, hasha, nishasema hpo juu Kiingereza kama lugha ni dhalili ukikilinganisha na Kiswahili.

Lakini kimepata kuwa, kwa sababu moja au nyingine, kibiashara, kishistoria, kisiasa etc, kuwa kama alivyosema Nyerere, "Kiswahili cha dunia". Kuna mambo ambayo Kiswahili hata maneno yake hatuna, yameandikwa Kiswahili.

Unapotaka kumueleza mtu katika Kiswahili kwamba huna "multiverse" au "boson particle", utatumia maneno gani?

Sasa kwa mtu asiyejua Kiingereza, hata ukimtafsiria "Hegelian dialectic" kama televisehni ya Zanzibar enzi hizo kwa kusema "Mapinduzi Daima" (wangapi wanakumbuka hili?) utakuwa ushamvusha mto mkubwa wa kufikiri mambo yako bila mapinduzi.
Mkuu nilipata nafasi ktk harakati zangu kujadili nguli mmoja wa social linguistics duniani hiyo kauli ya Nyerere

"Kingereza ni Kiswahili cha dunia"

Aliniambia Nyerere in UK land while speaking that, and he could have said differently when in Africa.
 
Kiswahili ni lugha nzuri na iliyo tamu sana.

Na ni moja ya lugha zilizo rahisi kujifunza.

Tatizo moja kubwa nilionalo mimi ni ukosefu wa taasisi imara za kukikuza.

Baadhi ya watu hudai Kiswahili hakijitoshelezi kimsamiati kama ambavyo Kiingereza kinavyojitosheleza.

Hiyo dhana sikubaliani nayo. Ni dhana potofu.

Kiingereza kimeazima maneno hadi kwenye Kiswahili! Huko kwenye Kilatini ndo usiseme kabisa.

Kila mwaka taasisi za lugha ya Kiingereza huingiza maneno mapya kwenye kamusi zake.

Kwenye Kiswahili sijawahi kuliona hilo.

Sasa kwa mfano kama maneno flani ya Kiingereza hayapo kwenye Kiswahili kwa nini tusiyaazime na tukayaswalihisha tu ili nasi tuwe nayo?

Mbona mengine tumeyaswalihisha? Polisi tumeliswalihisha...hospitali tumeliswalihisha.....shule tumeliswalihisha...na mengineyo mengi tu tumeyaswalihisha.

Sioni kwa nini tusiyaswalihishe na hayo mengine ambayo hatunayo kwenye msamiati kwa sasa.

Waingereza hadi neno 'safari' wameliazima na kuliingiza hadi kwenye kamusi zao.

Hata sisi naamini tunaweza kufanya hivyo hivyo kwa yale ambayo tunaona hatunayo.
Taasisi hazina meno. Tataki (udsm) wanajitahidi kidogo wametafsiri vitabu kadha wa kadha shida inakuja utumizi wa kiswahili uko limited sana ktk elimu. Siku itakapotumika kama lugha ya kufundishia sekondari itakuwa vizuri.
 
Wakati nipo dogo nilikuwa naenda hapo kucheza na au niseme kuwatazama huku nikimsubiri maza atoke kazini turudi nyumbani.

Nilikuwa nawaona ni kivutio kizuri sana.

Siku hizi sijui hata kama wapo tena.
Sisi wengine tulikuwa tukipitishwa kuwaona na our seniors ktk kukua kwetu. Unasubiri mpaka achanue mabawa ndo uridhike.
 
Mkuu authentic,

See what you have done?? All HELL is breaking loose... Hahahahah

Inabidi nisome comments nibaki nacheka tu!!

Anyways, nyuma ya kila mtu mmoja anayekuchukia, kuna watu mia moja wanaokupenda na kukuunga mkono!!

In this life, you don't have to prove nothing to nobody, except YOURSELF.!! If you haven't done that by now, it ain't gonn' never happen...

Be yourself!
Do what you love!
Have a class!
Stay humble!
that little light of yours...let it shine...

THEY WANT YOU TO STOP... DONT EVER ALLOW THEM TO HAVE THAT KIND OF PLEASURE... KEEP DOING IT.. AND THEN DO IT AGAIN.. AND THEN AGAIN AND AGAIN!!

The Bold
 
The Bold na wengine waliotajwa hapa ni magwiji kwelikweli katika nyanja zao. Kuna mwingine sina hakika kama ametajwa hapa....mtaalamu wa manyota na songombingo zote za anga za juu, nina miaka sijamuona humu (au labda yupo ila ni uvivu wangu tu) alikuwa anaitwa Monstgala....
HESHIMA KWENU WOTE WAKUU.
Monstgala huyu jamaa ndo alifanya niipende jf
 
Kiswahili ni lugha nzuri na iliyo tamu sana.

Na ni moja ya lugha zilizo rahisi kujifunza.

Tatizo moja kubwa nilionalo mimi ni ukosefu wa taasisi imara za kukikuza.

Baadhi ya watu hudai Kiswahili hakijitoshelezi kimsamiati kama ambavyo Kiingereza kinavyojitosheleza.

Hiyo dhana sikubaliani nayo. Ni dhana potofu.

Kiingereza kimeazima maneno hadi kwenye Kiswahili! Huko kwenye Kilatini ndo usiseme kabisa.

Kila mwaka taasisi za lugha ya Kiingereza huingiza maneno mapya kwenye kamusi zake.

Kwenye Kiswahili sijawahi kuliona hilo.

Sasa kwa mfano kama maneno flani ya Kiingereza hayapo kwenye Kiswahili kwa nini tusiyaazime na tukayaswalihisha tu ili nasi tuwe nayo?

Mbona mengine tumeyaswalihisha? Polisi tumeliswalihisha...hospitali tumeliswalihisha.....shule tumeliswalihisha...na mengineyo mengi tu tumeyaswalihisha.

Sioni kwa nini tusiyaswalihishe na hayo mengine ambayo hatunayo kwenye msamiati kwa sasa.

Waingereza hadi neno 'safari' wameliazima na kuliingiza hadi kwenye kamusi zao.

Hata sisi naamini tunaweza kufanya hivyo hivyo kwa yale ambayo tunaona hatunayo.
Umenena vyema kabisa,kula tano ya ujazo
 
Najua, najua.

Wanasema kwamba Kiswahili kimejawa na maneno ya kutohoa (au kwa Kiswahili kingine Kuswahilishwa) mpaka asili yenyewe inapotea.

Na huu mjadala si wa Kiswahili tu.

Kwa yeyote aliyekisoma Kiingereza cha ndani cha kina Churchill na hata zamani zaidi, atajua na kuona hawa kama walikuwa na nafasi ya kutumia neno lenye mizizi ya "old English" au neno jipya la kutohoa kutoka Kilatini, walichagua neno la "Old English".

Kwa hivyo huu si mjadala mpya wa Kiswahili tu.

Hata Kiingereza kilishakuwa na mjadala huu.

Wangapi wanajua hilo?
Asante........maneno ya ukweli haya
 
Taasisi hazina meno. Tataki (udsm) wanajitahidi kidogo wametafsiri vitabu kadha wa kadha shida inakuja utumizi wa kiswahili uko limited sana ktk elimu. Siku itakapotumika kama lugha ya kufundishia sekondari itakuwa vizuri.
Lkn kina Kadege hawataki kitumike eti hakina msamiati sasa kitapataje msamiati wakati hamtaki kukitumia?
 
Lkn kina Kadege hawataki kitumike eti hakina msamiati sasa kitapataje msamiati wakati hamtaki kukitumia?
Tunatakiwa kumuelewa Kadghe vizuri. Hata ukisoma Utafiti wake anataka code switching as medium of instruction unajiuliza anatka utambulisho gani kwa vizazi vijavyo. Lugha ni utambulisho. Yeye na watoto wake ni wanufaika wa mfumo Kingereza ktk elimu. Vip kuhusu millions of Tanzanian children?
 
Sawa kwake yeye anufaike ni Kiingereza lkn ni % ngapi ya watanzania wanakihitaji na kukitumia kila siku ktk maisha yao ya kila siku ni wachache sana.......kwa hiyo point yake hains mashiko
 
Sawa kwake yeye anufaike ni Kiingereza lkn ni % ngapi ya watanzania wanakihitaji na kukitumia kila siku ktk maisha yao ya kila siku ni wachache sana.......kwa hiyo point yake hains mashiko
Hata hivyo tunahitaji kujifunza lugha nyingi. Lakini suala ni pale lugha ya kigeni inapotumika ktk kufundishia inazuia uelewa then anakuja msomi kuitetea nashindwa kumuelewa
 
Hata hivyo tunahitaji kujifunza lugha nyingi. Lakini suala ni pale lugha ya kigeni inapotumika ktk kufundishia inazuia uelewa then anakuja msomi kuitetea nashindwa kumuelewa
Umenena vyema kabisa,wasomi wetu si ndo hao kina Poropesa Lipumbavu umategemea nini
 
Hahaaaa....you're still hung-up on that huh??

It must hurt not getting Ngabu's attention if I'm still on your brain like that.

You'll get over it, though, with the passage of time, of course.

Other than that, I don't shy away from challenges and I pretty much lay to waste whoever thinks he/she can go toe to toe with me.

But also I don't waste time arguing with driveling idiots. So if I figure out that you're one of them, I give you the stupid treatment that you rightly deserve and I do so in a quick, fast, and in a hurry fashion.
una majivuno. hutakaa ufanikiwe kwenye maisha yako
 
mkuu Al-watan na Kiranga ni mtu mmoja
Hapa JF aliwahi tokea mtu mwenye uwezo mkubwa sana wakufikiri......si mwingine ni mkuu Kiranga.

Mwingine mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri ni mkuu Nyani Ngabu.

Nafahamu Nyani Ngabu wakatimwingine anaweza kufanya mambo mengi ya utani tu laini huyu jamaa anauwezo mkubwa

Pia member anayeitwa Deception (sijui yupo wapi siku hizi) naye anaweza kujenga hoja sana.

Mwingine ni mkuu ONTARIO anaweledi mzuri kwenye business na ujasiriamali. Pia anaweza sana kusimulia tukio fulani kwa weledi

Member mwingine ni Al-Watan. Huyu anauwezo mkubwa kufikiri logically. Aina yake ya kufikiri ni kama Kiranga japo yeye hashiriki sana mijadala hapa

Pia kwenye hii list yangu namsifu The Bold anakipawa cha kusimulia makala za kijasusi anazozipata kwa msaada wa mtandao

Update

Aaaah nimemkumbuka my brother Dan Copper. Huyu yupo vizuri upande wa celebrity forum. Hususani muziki wa majuu. Zamani alikuwa anajiita Sergio Paulo...

Kwa upande wa siasa mkuu barafu nakusifu.

Hao ni baadhi, wapo wengi hapa JF nao si haba. Tunajifunza na kufurahia hoja na mada zao
 
Kiranga ni the best...kuna wakati alikuwa akilianzisha kwenye thread basi nitamfuatilia hata comments zikifika 1k..sijui kapotelea wapi huyu mtu au ana Id nyingine??
Mkuu listi yako inafanana na yangu kwa asilimia 99.
 
Kiranga is a true genius. Ana produce new ideas

Huyu the bold anadesa wikipedia na documentaries za Histroy Channel mnamwita intelligent

Wabongo kuwadanganya ni rahisi sana
koment kubwa sanaa hii
 
Embu toeni ujinga wenu hapa. Mbona mnapenda kujipa kiki za kijinga?

Mtu akuchukie wewe au bold kwa lipi hasa? Watu wenyewe hamjulikani ndo mchukiwe kwa lipi? Hizo threads zenu? Au hayo mapenzi yenu? Who the hell are u...????

I mean seriously u sit down and think that people hate u? Stop hallucinating. Grow up

Stupid...
Comment ya mwaka Jf ,,,achukiwe Dangote ana pesa zake na kwenye list yupo ,sasa hao nao hawajiamini eti wanachukiwa hhhhaaa nicheke mie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom