The Greater Kanumba movie mpya THIS IS IT!

boss sijawahi na wala sijui nani na kwa njia gani atanishawishi kupoteza (achilia mbali kununua au ku-pirate) muda wangu kutazama upuuzi huu wa akina Kanumba and company...
simply there is nothing to watch.....wandesa mpaka title bana agrrrrrrrrrrrrr!!

sikujua kuwa bado upo.
i miss u,
 
MARA nyingi anaiga filaza kinaigeria ila anatafsiri kwa kiswahili.............
 
kwani last time kule pm nilikuwa
naku overdose na nini?
umesahau ukatka kushindwa kula?
hahaaaaaaaa mayo weeeeeeeeee
nimekumbuka duh!!!!
leo si ijumaaaaa???
dozi inafaa sana leo
 
ha ha ha ha,teh,teh ni muda huu huu nimetaka kumstua kwamba ntakutonya uje fumania naona umenusa,ndege alikua anaenda kwenye tundu la boss.

sio ndege wote wanafaa kufugwa.
inabidi achunguze ndege wake lol.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom