The game of life and how to play it. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The game of life and how to play it.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by STREET SMART, May 12, 2011.

 1. STREET SMART

  STREET SMART JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 666
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  LIFE IS A GAME; Hilo halina ubishi. Jinsi fikra zetu na vitendo vyetu vilivyo kila siku is how you play your game. Lakini jamani game zote tuzijuazo zina PURPOSE, eg football; toa pasi,dribble - funga, basket ball pia ina purpose yake kama ilivyo kwa boxing na hat computer games. Sasa kama life is a game na kila game ina purpose, jiulize je wewe purpose yako ktk life life yako ni nn?(wengi wetu hatuna purpose ktk maisha yetu na wala hatujui umuim wake) HOW CAN YOU WIN A GAME AMBAYO HATA PURPOSE YAKE HUJUI? Ndo mana weng wetu hufa bila ya kufurahia maisha,maskini na bila ya kupata mafanikio yoyote ya maana in life time. Pili life kama game zote nilizotaja hapo juu ina rules zake, football ina rules zake 17,basketball etc zina rules zake; JE UNAJUA KUWA GAME OF LIFE INA RULES ZAKE: - MBONA UNAJARIBU KUWIN GAME AMBAYO HATA RULES ZAKE HUJUI? Si ajabu wengi wetu hushindwa hii game of life, na matokeo ya kushindwa kila mmoja wetu anayajua. ILI USHINDE HII GAME LAZIMA UWE NA MAJOR DEFINITE PURPOSE + UZIJUE NA KUZITUMIA RULES ZAKE. Gongeni thanks 30, niwape iyo purpose na rules zake, ndani ya miaka mitatu ya kuzitumia utaona mabadiliko makubwa ktk area hizi: afya njema,furaha ya maisha,utajiri na mahusiano mazuri na wote wakuzungukao.
   
 2. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,798
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Sasa STREET SMART!
  Tunaanzaje kukugongea hizo thanks bila hata kuona hizo PURPOSES na RULES zako??
  Weka hapa tuone labda tunazijua na tunazitumia lakini hazifanyikazi?
  Kukukumbusha tu katika game kuna competition na lazima kati ya competitors kuna looser na winner, pamoja na kujua rules na purposes hizo kuna kingine cha ziada technics ambayo huitimisha ushindi, isitoshe sio kila anaeshindwa hajui rules na porposes kuna factors nyingine kama majeruhi, waamuzi nk.

  Weka hapa tuone.
   
 3. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Bold: tenda wema uende zako.. usingoje shukrani..:dance:usiwe ka Kalumanzila!!
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu mwaga hzo rules fasta tukugongee thanks
   
 5. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  mkuu umesema kama mimi nakugongea thanks!
   
Loading...