donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
Hawa jamaa mapacha wanne nliwaonaga longtime kidogo kwenye show ya Oprah Winfrey nikashangaa sana, nikaja kuwaona kwenye video ya kanye west Tena washakua wakubwa tayari....
HahahahahahahaDah wako vizuri aiseee, hio mbegu ya huyo Baba yao ingekuwa ni ya mbuzi au ng'ombe tungeinunua aiseee. maana dah hatareee
Kitu kama adverts mkuuwanajishughulisha na nini???
Daah wataumia sanaNawaza tu mmoja akifarik wataumiaje
Teh haya mkuuNi wazuri!
Wengine ndo wamebarikiwa hiviDah! Watu wengine wakipata wawili tu nanga inapaa.
blessHawa jamaa mapacha wanne nliwaonaga longtime kidogo kwenye show ya Oprah Winfrey nikashangaa sana, nikaja kuwaona kwenye video ya kanye west Tena washakua wakubwa tayari....
View attachment 344670View attachment 344671View attachment 344672View attachment 344673View attachment 344674View attachment 344675View attachment 344676
No 1 mentioned anything about wealthyMsiniambie kuwa hao jamaa ni matajiri kisa ni mapacha
U get me wrong dogoNo 1 mentioned anything about wealthy