The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Cool!!!Pleasure is all mine!..Enjoy the rest of your big day!!..
Usijali kabisa..Pizza&Pasta ndio kwenyewe, utataka kubaki huku mwenyewe!!
Basi tukutane jioni jikwaa la sports kwa mechi, ni formality tu kumalizia game ya leo but Manure wameshapita...See you!!
Hahaha !!!! Yaani mimi kutaka kuonja keki ndio umenitoa nduki kiasi hicho lolBes day boy
unaendeleaje????
Kabla hujakata keki usisahau
kunitumia nilichookuuliza kwenye PM..
Keshooo asubuhi na damkia..
Hahaha !!!! Yaani mimi kutaka kuonja keki ndio umenitoa nduki kiasi hicho lol
Thanks be good, mwambie Catherine she's also invitedHahahshhah lol
fanya vile basi nakupa keki ya pili..
Ntakuonyeshea jinsi ya kukata na kula pia hahahah lol
Baade mi hiyo kazini.. usisahau aee mtoto mzuri mwaahh
Details please...!! nipo kimaslai zaidi hommieThanks be good, mwambie Catherine she's also invited
Hahaha!!! Mkuu nitakupa details nitaziweka hadharani soon halafu huyu AD asije akamficha Catherine kabisaDetails please...!! nipo kimaslai zaidi hommie
Thanks birungiHappy birthday!!!
Mungu azibariki siku za maisha yako,na kazi ya mikono yako ibarikiwe.!!!
Sizinga unataka watu wasiende makazini keshokuna contenna ya 'chibuku' inakuja muda si mrefu..!!hahaaa,mshindwe nyie tu
Hahaha!!! Mkuu nitakupa details nitaziweka hadharani soon halafu huyu AD asije akamficha Catherine kabisa
Hahaha wewe mbona hauishi vituko naujua sana yaani unataka kusema....kuna haja ya kuanza kukufunga na Solex lolhivi do u knw zat song ya I GOT NEWS FOR U?AU NIKUPE MISTARI?
Hahaha SIZINGA nani huyu kaanza mapema usikute yale mabox ambayo yana Red Label yameishafunguliwa tayariwaalikwa wote plzeee,mnywe kwa ustaarabu na kesho muendelee na majukumu yenu....mkifikia hali hiiView attachment 29250
nadhani TF inabidi atolee maelezo!!
Hahaha SIZINGA nani huyu kaanza mapema usikute yale mabox ambayo yana Red Label yameishafunguliwa tayari
YouTube - SOS Band - The Finest - rare 'live' footage
Happy 16th Birthday Mkuu TF. God Bless you
Asante Sana Mkuu na nashukuru sana
Preta my pleasure hakikisha Lily Flower, Wiselady, Loner, PakaJimmy, Derimto, Freetown, Eaka Mangi, Rutashubanyuma, Sahara Voice na wengineo hawakosiHappy Birthday Finest......leo nachinja nyanyi for dinner kwa ajili yako
Fidel, dah ameishaharibuHah we FINEST, kwani kamati ya ulinzi umemweka nani??
Hahaha wewe mbona hauishi vituko naujua sana yaani unataka kusema....kuna haja ya kuanza kukufunga na Solex lol