t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 6,396
- 14,832
nikweli mkuu inahitaji nguvu ya ziada sana kumueleza mtu ili aelewe tatizo wengi wetu tunakrem tuu juu kwa juu.
mm naona ili wanajamv wapate kuelewa ilibidi watofautishe kati ya D4 na VVTI wengi wanafikili ni kitu kimoja kumbe ni vitu 2 tofauti kabisaa
mwingine ni mfumo wa mafuta na mwingine ni mfumo wa uingizwaji wa hewa labda hapa ili tueleweshane vizuri yatubidi tuanzie kwenye D4 nakurudi nyuma na kutafuta ilikotokea mpaka kufika hapa je mwanzo kabisa mfumo wa mafuta kuingia kwenye combustion chember ulikuwaje mpaka kufikia hapa kwenye d4
hali kadhalika na mfumo wa vvti nao pia.
bado sikumbuki ni aina gani ya engine yenye mfumo wa D4 haina mfumo wa vvti.
ila ni engine nyingi sana zenye mfumo wa vvti peke yake
Pamoja mkuu, uwoga unawamaliza sana mafundi wetu wa kitanzania, inatakiwa wajifunze na sio kulaumu hizi techonology
Nakubaliana nawe kuwa kama kuna kitu watu wamekariri vibaya ni uhusiano wa cc na ulaji wa mafuta, nina gari mitsubishi canter moja 5200cc , na nyingine 4200cc , ajabu ni kuwa hii ya cc kubwa iko na nguvu zaidi na fuel economy nzuri kuliko hiyo ya cc 4200 zote zinafanya kazi aina moja.