Malima hakuwa na sifa yoyote ya uongozi ingawa alikuwa mwanafunzi mzuri aanapokuwa na mwalimu mzuri. Alipokuwa akiongozwa na Nyerere alikuwa mwanafunzi mzuri sana, lakini alipoanza kuongozwa na Mwinyi, akawa hajifunzi lolote tena na hapo ndipo alipoanza kuharibikiwa. Alipelekwa Wizara ya Elimu enzi hizo hizo za Mwinyi halafu akajidai kuwa eti ameleta sera ya kutumia namba kwenye mitihani kusudi waislamu wasionewe, jambo ambalo lilikuwa limeachwa nchini na watayarishaji wa mitihani wa Cambridge. Anajua kuwa mtihani wake wa darasa la nane alitumia namba na vile vile mitihani wake wa darasa la kumi na mbili na darasa la kumi na nne alitumia namba, lakini akaja kuzingua watu kwamba "aligundua kuwa" majina ya kiisalamu yalikuwa yakibaguliwa. Hapo alianza kuonyesha kuwa mtu ambaye ni politically bankrupt! Mzee Dr Omar Ali Juma, alikuwa ni kiongozi mwenye busara sana kwa waislamu kuhusu elimu kuliko wanasaiasa uchwara akina Malima waliokuwa wakijitafutia sifa za ulani bila kuwa na product ya kuonyesha.
Alipokuwa akitoa misamaha ya kodi kiholela kwa wafanya biashara wa kiislamu kwa akishirikiana na Ramadhan Nyamka hadi wafadhili wakasitisha kutoa misaada yao je alikuwa haoni madhara yakufanya hivyo kwenye uchumi wa nchi? Baada ya Wizara yake kuchukuliwa na Kikwete ndipo misaada ikaaza kurudi tena lakini wafadhili wakalazimisha kuwe na utaratibu imara wa kukusanya kodi kuanzia wakati huo, jambo lililopelekea kuundwa kwa TRA muda mchache kabla Mwinyi hajamaliza muda wake.
Vilaza wasiojua historia ya mambo sawasawa hupenda sana kuungaunga maneno yanayowafurahisha, na ndiyo maana wengine waliwahi kudiriki kusema kuwa Mkapa ndiye aliyesimamia kodi wakati hiyo ilikuwa ni plani iliyoanza tangu wakati wa Mwinyi kutokana na Malima kutibua mambo wakati akiwa waziri wa fedha.
Fall ya Malima ilitokana na Kikwete kutoa siri za mabaya yake na huenda sasa hivi Kikwete anamtunza Malima junior kumfariji kutokana na fall hiyo ya baba yake.

Wanajamvi,
Post ya mwisho ya Prof. Malima haikuondolewa na hii ndiyo sababu
iliyonitia moyo niweke post hii ambayo kwa muktadha wetu hapa ni
ya mwisho.
Hiki ni kitabu kizima...
Mkipenda tutaendelea na kumbukumbu za Malima Insha Allah.
Wewe na wenzako akina ''ng'ombe sugu'' na hao jamaa wenye picha ya mini-kabang Malcomx mna-share malezi mabovu. Mawazo yenu ni huko huko kwenye makalio. matusi yenu wakati wote yanaegemea huko huko. Yaelekea mna uzoefu sana ama wa kulawiti au kulawitiwa. Jifunzeni kwa mzee wenu mfitini wa kimanyema, huwa hatukani ovyo- labda kwa vile ana asili ya bara... tofauti na nyie wamanga koko.
Conclusion ya mwandishi ni kuwa Malima angesababisha siasa za kidini Tanzania.
Sina cha kuongeza...
Maneno yako meengi yanavutia sana!
Kama zile hadithi za mama na mwana wakati mi niko shule!
Bahati mbaya HUNA CHOCHOTE kiitwacho USHAHIDI ulicho ambatanisha na hizi stori zako .
Kwa hivyo wasomi wana hitimisha hapa kuwa hii ni radio Kahawa! Na kashata!.
Kabla ya Mzee Malima kuwa waziri wa elimu wale wa nyuma yake woote walikuwa wagalatia!
Je! Wao hawakusoma hilo darasa la nane la mkoloni wakaona hio system ya kutumia namba badala ya majina!??
Na kama waliiona! Kwa nini wasiiweke?? Au utasema walikuwa Hawana akili kama malima!?? Au kwa sababu education system ilikiwa haiwaathiri wagalatia??
Usilete mambo ya eti au but hapa!
Na kusema unajua historia!!
Hapa hatuzungumzii vita kuu ya mwaka 1914!
Hapa tunamungelea mtu.ambae alishawahi kuwa waziri wakati sisi tayari ni watu wazima!
Unapokuja na maneno kama hayo hapo juu sharti dogo kabisa ni kuwawekea wana jamvi ushahidi wa hayo madai yako!
Watunga mashairi ni wengi mno humu jukwaani lkn WASOMI NI WACHACHE!
Sasa sisi wengine hupenda kusoma ya wasomi zaidi kuliko watunga mashairi matamu!
Hebu anza upya na utuwekee mshiko ktkt ya khabari zako.
Labda huwenda ukaeleweke!
La si hivyo itabidi nikuombe uhamishie stori zako kwenye jukwaa la mipasho na rusha roho.
Mazuzu tu ndiyo watauelewa huu ugolo wako.
kwa mfano ww umeleta ushahidi wa jambo gani kati ya uliochangia humu?
Mazuzu tu ndiyo watauelewa huu ugolo wako.
Naona kama kuna attachments umeweka Mzee Said sijaweza kuzisoma (inawezekana ni tatizo la simu na pc yangu), naomba kama unaweza kuziweka kwa format nyingine...Tuko,
Hebu kwanza soma hii hapa chini kisha In Sha Allah rudi tujadili udini:
Ndugu yangu Tuko,
Ninachotaka wewe ukizingatia ni uadui walioonyesha watendaji wa Wizara
ya Elimu dhidi ya wanafunzi wa Kiislam.
Haya ndiyo matatizo yanayokabili nchi yetu.
Hivi sasa tunayazungumza kwa njia nzuri.
Dhulma haidumu na ikidumu inaangamiza.
Tujihadhari tusije tukaangamiza nchi yetu.
Sina cha kuongeza.
- It was a fact that Prof. Malima would have pinned his presidential campaign on the plight of Muslims in Tanzania putting across his message with facts and figures which his opponents would not have been able to dispute. It is also a fact that Prof. Malima would have faced momentous opposition from the Christian Lobby.
- But it is also a fact that Muslims would have backed Prof. Malima in a way never seen since the support of Julius Nyerere during the struggle for independence in 1950s.
- The electoral would have split votes on presidential nomination on Muslims-Christian pattern.
- Even if for the sake of argument Prof. Malima would have lost to Benjamin Mkapa, Tanzania would never have been the same.
- Muslims for the first time since independence would have succeeded to put its plight on the agenda and no government in power would have dared to ignore its force.
Maneno yako meengi yanavutia sana!
Kama zile hadithi za mama na mwana wakati mi niko shule!
Bahati mbaya HUNA CHOCHOTE kiitwacho USHAHIDI ulicho ambatanisha na hizi stori zako .
Kwa hivyo wasomi wana hitimisha hapa kuwa hii ni radio Kahawa! Na kashata!.
Kabla ya Mzee Malima kuwa waziri wa elimu wale wa nyuma yake woote walikuwa wagalatia!
Je! Wao hawakusoma hilo darasa la nane la mkoloni wakaona hio system ya kutumia namba badala ya majina!??
Na kama waliiona! Kwa nini wasiiweke?? Au utasema walikuwa Hawana akili kama malima!?? Au kwa sababu education system ilikiwa haiwaathiri wagalatia??
Usilete mambo ya eti au but hapa!
Na kusema unajua historia!!
Hapa hatuzungumzii vita kuu ya mwaka 1914!
Hapa tunamungelea mtu.ambae alishawahi kuwa waziri wakati sisi tayari ni watu wazima!
Unapokuja na maneno kama hayo hapo juu sharti dogo kabisa ni kuwawekea wana jamvi ushahidi wa hayo madai yako!
Watunga mashairi ni wengi mno humu jukwaani lkn WASOMI NI WACHACHE!
Sasa sisi wengine hupenda kusoma ya wasomi zaidi kuliko watunga mashairi matamu!
Hebu anza upya na utuwekee mshiko ktkt ya khabari zako.
Labda huwenda ukaeleweke!
La si hivyo itabidi nikuombe uhamishie stori zako kwenye jukwaa la mipasho na rusha roho.
kahtaan tusijibu matusi na kejeli za kidini. Lengo lao kuhamisha kujadili mada iliyopo.
Tujadili maisha na kifo cha Almarhum Malima.
Alikukua na maadui wengi kwenye chama chake na kutoka wakuu wa makanisa.
Kuna watu wali kunywa kifurahia kifo chake. Hivyo tujadili hoja ya msingi na dhana mzima ya sababu ya kifo chake.
Prof.Malima alikuwa mdini haswa...and his political move was based kwenye udini na si kitu kingine..kumbuka nchi yetu haijawahi kuwa ya kidini na Mwenyezi Mungu atujalie tusifike huko..swali la kujiuliza kwa kina Mohamed Said,Ritz na wengineo wa caliber hii watoto wetu tunawapeleka shule???wa ndugu zetu pia??tuache kulalama kuhusu mfumo kristo hakuna kitu kama hiki pelekeni watoto shule...tuwaambie ndugu zetu wa mwanyamala,manzese,mbagala to mention a few wasomeshe watoto wao na si kutumia ujinga wao kuwajaza uongo uliokithiri kupitia majarida,CD,dvd na vinginevyo..ni upuuzi kumwadhibu mtoto kwa kutokwenda madrasa huku ya kutokwenda shule unamchekea..
Nawasilisha
Wewe lete tuh hivyo vyeti vyako uwanja uko wazi huu
Na hilo la kuhus malima na namba za mitihan nadhan unafaham uhalisia ulivyo na clarification zilizowahi kutolewa hapo awali
Kutumia namba pekee ni fix tu lakini Malima alichofanya ni kutumia namba kwenye hatua zote yaani kufanya mtihani, kusahihisha na mpaka hatua ya kutoa matokeo hapo ndipo walipowaweza wale wenye kujifanya ndiyo wenye elimu yao.