Jamani kama kuna kitu kimerahisishwa hapa Tanzania ni hii serekali ya Mh. JK. Kiila mtu anayejua kuandika anajiandikia chochote anachotaka na anapeta tu. Bora awe wa hiyo dini tu
Kweli, weye mleta hii thread, kama ningekuwa na kauwezo tu, ningekukamata nikuwezeshe uwaeleze Watanzania wote huo ukweli wako ulio ugundua wa mtu kuuawa halafu serekali ikae kimyaa kama haioni.
Adam Malima mpaka amekuwa waziri asiweze hata kumlipa Private Investigater kumtafutia aliye muua huyo Babake, weye umeukalia ushahidi tuu. Hivi hujui kuukalia ushahidi kama huu ni kosa la jinai?? Hakuna hata Policcm mmoja mwenye haja ya kuongezwa kacheo tu afe na huyu mtu mpaka amwonyeshe huo ushahidi??
Jamani, hata kama mnataka kuanzisha vita, msitumie njia hizi butu hivi. Inaonesha hii dini ya huyu mleta hoja hata wangepewa dola yoote waimiliki bado wangelalamika. Hamuoni jinsi JK alivyowawezesha?? Mawaziri wenye wizara nyeti zote, Makatibu wakuu, Wakuu wa mikoa na wilaya, bora wawe na kaelimu hata ka kuungaunga tu. jamani hata hao wenzenu makafiri nao wana macho ya kujionea hayoooo
Nisameheni, ni mawazo yangu tu