Sasa Mkuu,
Hivi wewe binafsi au Taifa lako linafaidika vipi na huo ujumbe wa matusi na hoja dhaifu,unaotaka hao walengwa wausome!? Hivi unafahamu hizo ni mojawapo ya zile Jewish Lobby Propagandist!?
Wewe unafahamu source/s ya uharo huo lakini Mkuu!?...unafahamu nani alieandika na kusaidia kuusambaza,na madhumuni yao!? Daah!
Hivi mnafahamu kinachoendelea kiundani pale South Sudan!? Au bado ile myth ilobuniwa ya kwamba ilikua ni vita baina ya ati "Wakristo" na Waislam mlokaririshwa haijakutokeni, jamani!? Daah!
Sasa nanyi Watanzania endeleeni tu kucheza "ngoma" msoijua na mtakiona "cha mtema kuni" soon!...nilishayasema haya kitambo kingi,ndo leo narejea tu kiduchu!...si unafahamu yakua nanyi pia hivi sasa mna Oil na Gas,Mkuu!?
Sasa mbona hatujaona "mtu mweusi" wa aina yoyote mle kutajwa/kusifiwa,kwenye ile post ya kashfa na matusi aloleta huyo Mwita Ke Mwita!?...ambayo nawe yaeleka umeipenda mno Daah!
Au nyinyi magalatia kwa akili zenu za Sunday Schools...yaani yakutosheni tu pale right wing Jews,Zionists and/or White Supremacists,wakichajisifia kwa zile interests zao za kinyama...basi nyinyi inakutosheni kubeba mabango/slogans na kuanza/kuendeleza kuwachafua watu weusi/Waafrika wenzenu!?
Jamani,hivi hii mental Slavery itakuondokeni lini ndani ya hayo mabichwa yenu mabovu yalojaa funza nyinyi Waafrika,jamani!? Teeh! Teeh! Teeh!
Salaam zao!
Ahsanta.