A thieving professor
Mbona wewe kila mara unadai yakua ati "huthamini" maandiko ya Sheikh Mohamed Said...ya kwamba ati yamejaa "urongo","chuki" na mangineyo usoyapenda!?
Kwani si pana majukwaa mangi mno humu-JF,tena yenye kuzungumzia interests/mada mbalimbali!? Au hayo yoote nayo pia hayakidhi haja yako!?
Hiyo "thieving Professor" umeitoa wapi!?...nime-BOLD hapo kwenye hiyo bayana yako isokua na adabu!
Au ndo ulivyokaririshwa!?
Mimi nakupa challenge ulete ushahidi woote ulionao/uliokaririshwa...na sources zake! Uanike hapa hapa jamvini,khalaf sisi Wanajamvi soote tutanyambua kwa undani/kitaaluma na objectively!?
Ukishindwa fanza hivyo,tafadhali jitahidi utumie busara japo kiduchu za kuazima...yaani peleka mdomo wako mchafu huko huko vijiweni kwenu na uendelee tu kua msikilizaji mtiifu kama vile sisi wangine,Ok!?
Calling Mkuu NHIC....tafadhali Mkuu angu,kama kipata fursa nyangine,embu jongelea hapa jamvini kuja kuweka ukweli sawa japo kiduchu kama ulivyofanza awali! Maana pana dalili za misukule fulani kutaka kuzidi kumchafua Mzee wa watu maskini Prof. Ali Malima,kwa assumptions na insinuations zao,bila hata chembe ya direct eveidence/s! Daah!
Ahsanta sana.