THE DAY WHICH I CAN DOWNLOAD MONEY......nitafurahi!!!!

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
823
213
jamani japo kuwa utandawazi umerahisisha mambo mengi unaweza uka Download fomu mbalimbali..na vitu vingine vingi..sasa..kwa NN tusi Download Hata maFedha au Mnaxemaje.
 
jaribu kwenye mashine za ATM nasikia zina download noti
 
ukiona ubongo wako unawaza kama hivi...ujue ni dalili za kuwa masikini
siku zote watu tulio na fedha huwa tunawaza ni jinsi gani tutaziongeza
 
Back
Top Bottom