Thank you! you concur with me"Kichuguu, post: 32417173, member: 348"]Halafu bajeti kuwa na siasa ndani yake ni mambo yanayofanyika duniani kote;
Siyo kwamba inawezekana, ndivyo ilivyo hasa nchi zetu masikini ambapo siasa mbele uchumi baadayewanasiasa wanaleta malengo yao, wataalamu wanapanga bajeti, halafu inawezekana wanasiasa wakachomekeza vitu vyao. Ndivyo ilivyo duniani kote; kwa Marekani nadhani unazijua hizo terms wanazoita pork barrel na earmarks kwa ajili hiyo.
Absolutely! Labda nikukumbushe kidogoHapo ndipo ninaposema kuwa usipoamini data za serikali basi usiamani data za institution yoyote.
Hapa unakosea, kama hujui motive basi huwezi kuongelea namba zisizo sahihiSijajua motive ya serikali kupitisha sheria ya takwimu, lakini nadhani pia ilikuwa ni kudhibiti watu kutoa namba zao zisizokuwa sahihi na kuzisambaza.
Trump alikataa wakati wa Obama, Taasisi zikaendelea na mjukumu yake kwasababu zipo kwa masilahi ya Taifa na si Trump. Hadi leo kuna wakati anakubali kuna wakati anakataa, hilo haliyumbishi taasisi hiziNadhani unajua kuwa hata marekani data za uchumi hutotolewa na institution moja tu; rais anaweza azakazimeza au akazitema hiyo ni shauri yake.
Hawahitaji makarani wala ofisi, wapo na wanafanya kazi zao. Muulize OsamaElewa kuwa hawana makarani wakusanya data za uchumi wa nchi kutoka kila kona ya nchi; hawatozi kodi, hawana maofisa wa forodha kujua ni nini kimeingia nchini na ni nini kimetoka nje. Hupata raw data kutoka serikalini.
Mzuvendi, I agree,however you missed a point of contentions.Nguruvi3;
When the government prepares its budget, there are a lot of variables that go into it. And Ilani ya chama is a very small part of it. First, the government has to cover its operational costs such has paying salaries of employees, maintaining government building, maintaining transportation fleets etc etc. Regardless of who's in power, the government will incur these costs.
Second, there are costs to cover development projects such as the costs to build new schools, bridges, hospitals, airports etc etc. Here's where Ilani za Chama can find the funding. The thing to remember here is the development projects always come after the government covers its operational costs and can be scrapped at any given time.
Mzuvendi, I agree,however you missed a point of contentions.
Kichuguu asserts that the budget is prepared solely by the experts without any political influence. Later on he changed the position to concur with my argument. That's it
Kichuguu wants to convince the mass that Chato project leaves nothing to be desired, and that, the onus lies squarely on the shoulder of ''experts'' without political machinations.Not true!
The fact is, there was political machinations coerced the experts to act under duress
Naomba urudi kwenye bajeti ya 2017/18 uone namna gani pesa zilitengwa na zilivyotolewa."Kichuguu, post: 32419622, member: 348"]
Politicians hawawezi kuforce kuwa kwa mwaka huu tukamilishe tujenge mradi fulani unaohitaji pesa ambazo nchi haina uwezo nazo halafu ukaingia kwenye bajeti kweli.
Wala hakuna tatizo na watalaam, wapo tena wengi tu. Hoja yangu ni kuwa kuna political influence kubwa kuliko utaalaam wenyewe.Nilikuwa na rafiki zangu pale hazina mmoja alikuwa Mchumi na mwingine alikuwa CPA walikuwa wanashughulika na mambo ya bajeti full time, yaani mwaka mzima.
Sina tatizo na uwanja , ninashaka na utetezi unaotolewa.Kuhusu uwanja wa Chato usituumize sana kichwa,Ila ninachosema ni kuwa umejengwa kwa kuidhinishwa na Bunge siyo kuwa umejengwa kinyemela
kinyume na bajeti ya Bunge kama watu wanavyodai; I hope umesoma post yangu hii hapa hapo nyuma.
Mkuu sina ''bias'' nina choice. Nimechagua makusudi kabisa kutodurusu takwimu za NBS kwa kujua kuwa kufanya hivyo ni kujidanganya.Mkuu si unaona taasisi zetu zinavyozidi kutoa mashaka hata wale waliokuwa neutral?Kichuguu:Unaelekea kuwa affected na Anchoring bias (unaamini kila kitu cha Zitto na IMF kwa sababu moja tu hata kama mambo yao mengine siyo ya kuaminika), Confirmation bias (Huamini taasisi za serikali kutokana na kosa moja tu hata kama sehemu nyingine hawafantyi makosa hayo tena- samaki mmoja akioza basi wameoza wote!), na Halo effect (Unakumbukia mazuri ya zamani ya Zito na IMF, kwa hiyo unaamini kuwa kila wasemalo leo ni sahihi pia hata kama siyo sahihi tena).
Maelezo yako yote yanakuwa summarized na neno moja, Nyemela.Kichuguu, post: 32429128, member: 348"]Unakubaliana nami kuwa uwanja ule haukujengwa kinyemela bali ulipitishwa na Bunge?
Napinga propaganda hizi kuwa pesa zimechotwa hazina kinyemela.
Ila sasa wabunge ndio labda waawajibishwe kwa kupitisha bajeti iliyokuwa fuzzy namna ile, labda liwe fundisho katika bajeti zijazo.
Ninajua jina Geita pia linasababisha confusion kidogo, kwani lina maana tatu tofauti: mkoa, wilaya na mji.
Nadhani walipotoa taarifa yao ilikuwa rebuttal ya taarifa ya NBS kwa maana ile ile kuwa ndio watoaji pesa hivyo waliona kuna kitu hakipo sawa kwa mtazamo wao"Kichuguu, post: 32441282, member: 348"]
World Bank ambao ndio wanatupatia pesa nyingi za miradi yetu; hao ndio wangekuwa suspicious zaidi ya taasisi yoyote kwa vile kuna pesa yao inahusika.
Tukubali hili kwa wakati huuKuna kitu hukizungumzii kuhusu madai ya unyemela, taarifa zilizosambaa ni kuwa pesa zilichotwa kinyemela "bila ridhaa ya bunge." Upinzani wangu kwenye hoja hapa ni kuwa kulikuwa na ridhaa ya bunge kuhusu matumizi ya fedha hizo.
Ahsante kwa hoja hii. Hapa pia ndipo panatia doa ''ridhaa''Sehemu kubwa ya malalamiko yako kama nilivyomjibu Rev. Kishoka huko nyuma kuwa ni kweli bajeti ilifanywa fuzzy makusudi kuficha kitu fulani; hilo huenda halina ubishi.
Nakubaliana nawe.At least angejitokeza mbunge mmoja kuuliza uwanja huo utajengwa mji gani, na hata kutoa shilingi kwenye bajeti ile hadi apatiwe ripoti ya uhakika kujua uwanja utajengwa wapi.
Hawawezi kupitisha matumizi ya pesa bila kuwa na uhakika zitatumikaje.
Je kama uwanja ungeenda kujengwa porini tu kusikofikika kirahisi?
Je waliposikia mkoani Geita wao waliamini kuwa ni mjini Geita?
Na siyo Bunge, serikali ilifikishaje mswada usio specific namna ile?Hawa ni watu wanaotunga sheria zetu, watapitishaje sheria ambazo siyo specific namna ile?
Umetuelewa tunaosema ''taasisi zetu zimepoteza nguvu zake. Hoja ya kwamba tunahitaji kuimarisha taasisi zetu, kuzipa uhuru na kuzisimamia nje ya mfumo wa kisiasa zinaeleweka sasa. Bila kuwa na taasisi imara ''daring and bold'' hatuwezi kusogea.Kwa hili la uwanja mimi ninalaumu Bunge tu, siyo serikali, kwani fedha zote za serikali zimeidhinishwa na bunge. Mbunge mmoja tu ana nguvu ya kutosha kusimamisha bajeti yote, kwa hiyo hata kama Bunge lote ni la wapiga debe tu, at least angekuwapo mmoja ambaye ni logical kiasi cha kutosha.
Mkuu kwa hili natambua nina choice siyo bias."Kichuguu, post: 32450235, member: 348"]
Jambo moja nitakalosisitiza tena hapa ni kuwa uko biased ila hujui hilo kwa vile ni silka ya binadamu wote;
Hapa nimechagua upande mmoja kwasababu hakuna upande wa pili. Unalinganisha vitu vinavyowiana, kwangu upande mmoja siwezi kuupa uhalali.Huwezi kuchagua upande mmoja tu siku zote bila kujua upande wa pili ukoje halafu ukasema kuwa huko biased.
Hapana, nimetenga maeneo mawili serikali na Bunge.Unaweka undue burden kwa serikali kuhusu muswada wao huo wa bajeti kama vile bunge halihusiki.
Ni kweli, Bunge halikutimiza wajibu wake kwasababu zile zile,taasisi iliyopoteza nguvu zake katika kusimamia serikali.Mimi siyo mwanasheria wa serikali, ila nikikuambia kuwa wakati wa bajeti walikuwa bado wanamalizia feasibility study ya kuamua wapi wajenge uwanja huo kati ya Geita Mjini, Kharumwa, na Chato, na uamuzi wa mwisho ulifanyiaka baada ya bajeti kuwa imeshapitiswa utasemaje. Ilikuwa ni wajibu wa Bunge kuwa na uhakika kuwa pesa wanazoidhinisha zitakwenda wapi, siyo hiyo ya kutoa blank cheque halafu baadaye kuja kulalamika kwa hisia bila ushahidi wowote wa kisheria.
Mkuu, ni vema tukajadili hoja tukapingana na kukubaliana, I mean agree or agree to disagree without insinuation or words construe.Conclusion: Unaposema Magufuli ni bulldozer ana weakan taasisi za serikali, sitegemei uwe na maana ya kuwa ana weaken Bunge kwani hajabadilli muuundo na madaraka ya bunge. Bunge kama taasisi iko vile vile tangu mwaka 1995.