The countdown: Updates kuelekea D9 special thread

The countdown: Updates kuelekea D9 special thread

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,869
Reaction score
828,403
Ni kama vile D9 ina baraka zote za kiroho! Na matendo ya kiroho hayapangwi na binadamu
Vibe ni kubwa mno kuelekea D9 lakini kuna uvumi kila mahali kwamba inaweza isifike huko, na ya kwamba mambo yanaweza kuanza mapema kabisa kuanzia tar 5 na tarehe 9 ikawa ni kilele na hitimisho

Hii ni mada maalum kuelekea tarehe 9.. Ninawaombeni tuweke matukio yote muhimu ya kila saa na kila siku kuelekea siku hiyo muhimu sana ya tarehe 9

Leo December 1 aliyetawala mitandaoni ni Padre Father Kitima .. Kwa haraka nimehesabu post za kumhusu pekee ni 18+.. Kwa hii day 1 kuelekea D9 TEC chini ya Fr. KO time wamekuwa nyota wa mchezo
Mwenye taarifa mwingine tofauti na hii please share... Kesho tunaendelea🙏🏿🙏🏿🙏🏿💪🏿✌🏿📌
 
Screenshot_20251121-231231_1.jpg
 
NASKIA HUKO MAKANISANI KWENYE IBADA ZENU WATU WA TEC MMESHAANZA KUHAMASISHANA

RAI YANGU ANDAENI MAJENEZA YA KUTOSHA,WAHUNI WATAKABILIWA IPASAVYO KENGE NYINYI

duh, nini maoni yako khs kutaka kuiondoa ( hata kama uo uwezo hawana) tanzagiza ktk mahakama ya kimataifa icc, unaunga mkono au unapinga? …
 
Kinamba namba hiyo 1,3,5,7,9 Kwa sasa zina nuru😂,
2 ya wazee wa Dar kuna Giza totorooo kuna upande wamechagua Giza huko😂😂😂,
Mchimba shimo hujichimbia mwenyewe
Kama wamechagua mambo ya Giza kuna nuru itawaangazia 👣
 
Kinamba namba hiyo 1,3,5,7,9 Kwa sasa zina nuru😂,
2 ya wazee wa Dar kuna Giza totorooo kuna upande wamechagua Giza huko😂😂😂,
Mchimba shimo hujichimbia mwenyewe
Kama wamechagua mambo ya Giza kuna nuru itawaangazia 👣
Mambo ya nyakati.. Mahitaji ya nyakati... Hata ndumba zina expire date!
 
Back
Top Bottom