Wewe uko mjini, unakaa kwa shemeji kwa hisani ya dada yako huwezi kujuwa hizi fursa za kilimo.Hayo ni manambari tu ya kwenye makaratasi ukweli tunauona huku mitaani kwani vyuma vilikaza mpaka vikakazuka , mikanda tumeikaza mpaka hamna sehemu nyengine ya ya kukazia . Au ndio haya magari manenne na mishahara minono ya wabunge na viongozi
Siyo kitu kidogo maana kuna soko la hizo bidhaaZaidi ya mahindi na mchele, bidhaa nyingi ni on Transit tuu,nyingi zinakuwa imported and repackaged then zinavushwa, oil/fuel ambayo inapita bandarini inachangia sana tuonekane tuna exports kubwa, to be fair tunalipwa transit fees na madereva wetu wanapata kazi 🤔