Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,311
- 12,202
Nitatumia kifungu cha 18 kwenye kitabu cha Bro kupinga hoja yako bro!.Then u aint a real Bro
Nitatumia kifungu cha 18 kwenye kitabu cha Bro kupinga hoja yako bro!.Then u aint a real Bro
Aaah mi sipiti nae walah,ntakua namheshim sana kama shemji yangu,hata mi ex wang stak apite na rafik anguEx wa rafiki yako ukimpenda hutahook nae wewe!? [emoji2][emoji2]. Si wameshakuwa Exes yanini isiruhusiwe mie sasa?
Hivi unajua siku zote shemeji mtamu/mzuri..Aaah mi sipiti nae walah,ntakua namheshim sana kama shemji yangu,hata mi ex wang stak apite na rafik angu
Sijui ntawachukuliaje asee
Yani hii na mimi nimeisoma mara mbili mbili [emoji23][emoji23]Bro before hoes unless Hoes got no clothes then bro can wait .... aseee
Uweeeee mi rafiki ang akipita na shemj ake wa zaman,urafiki unakufwa,kwanza ntahisi ye ndo chanzo mpka tukabreakHivi unajua siku zote shemeji mtamu/mzuri..
Hahaha sasa kaharibu vipi wakati unakuta wewe mwenyewe uliamua kumuacha bila shauriwa na mtu!.Uweeeee mi rafiki ang akipita na shemj ake wa zaman,urafiki unakufwa,kwanza ntahisi ye ndo chanzo mpka tukabreak
Yan hata kama,na ukiona nlimwacha mwenyew bas ujue kuna vitu alianza kubadilika,na kama alianza kubadilika ndo tukaachana bas wew rafiki angu ndo uliempa kichwa mpaka abadilike,pengine ulianza kunikandia ili uchukue nafasi jeHahaha sasa kaharibu vipi wakati unakuta wewe mwenyewe uliamua kumuacha bila shauriwa na mtu!.
Me siku zote sipendi fichwa ukimpenda Ex wangu nambie nikupe maujanja!..
hah huko ni kujishtukia tu, lakini ukiona ni kitu cha kawaida mbona inakuwa kawaida.. Mahusiano yana kuanza-kukomaa na kufa sasa yakifa yakaanza kwingine karibu yako ina maana huko ndio mbolea ipo kubwa[emoji2].Yan hata kama,na ukiona nlimwacha mwenyew bas ujue kuna vitu alianza kubadilika,na kama alianza kubadilika ndo tukaachana bas wew rafiki angu ndo uliempa kichwa mpaka abadilike,pengine ulianza kunikandia ili uchukue nafasi je
Nasema ole nimkute rafiki anabebika na ex wang,atakiona[emoji109] [emoji123]hah huko ni kujishtukia tu, lakini ukiona ni kitu cha kawaida mbona inakuwa kawaida.. Mahusiano yana kuanza-kukomaa na kufa sasa yakifa yakaanza kwingine karibu yako ina maana huko ndio mbolea ipo kubwa[emoji2].
hebu cheki kina Jlo, kanye, Tyga wanavyooishi iweje wewe ushindwe Jlo wangu bongo!!..🙂🙂🙂
🙂😱😳😵 Duh! Haya tupe uzoefu wako...Code namba 8 ntabishana na Bro hadi mwisho!!...
utafanya nini tuanzie hapo kwanza!!..Nasema ole nimkute rafiki anabebika na ex wang,atakiona[emoji109] [emoji123]
huezi kuwa na mahusiano na alliyekuwa shemeji yako wewe!!?..sheria ya 8 inapingwa na sheria ya 6 au ukitumia sheria ya 15 kuzipinga zote ambayo nayo ni tatizo kwa sheria ya 18!..Damn this book is soo wrong🙂😱😳😵 Duh! Haya tupe uzoefu wako...
Abadan! Kweli wewe ni indundu...huezi kuwa na mahusiano na alliyekuwa shemeji yako wewe!!?..sheria ya 8 inapingwa na sheria ya 6 au ukitumia sheria ya 15 kuzipinga zote ambayo nayo ni tatizo kwa sheria ya 18!..Damn this book is soo wrong
[emoji2][emoji23] indundu ni kutohoa neno la kinyakyusa endundu-Mlio wa sautiAbadan! Kweli wewe ni indundu...
Okay! Basi mimi nikadhani mdudu...[emoji2][emoji23] indundu ni kutohoa neno la kinyakyusa endundu-Mlio wa sauti
Namtoa mtu menoutafanya nini tuanzie hapo kwanza!!..
Inabidi utuandalie sister codeUweeeee mi rafiki ang akipita na shemj ake wa zaman,urafiki unakufwa,kwanza ntahisi ye ndo chanzo mpka tukabreak
Nikajua unakata kitendea kazi buana!..Namtoa mtu meno