The Boss, Sorry for your loss...

The Boss, Sorry for your loss...

Kongosho hujasema mazishi wapi na lini?
 
Last edited by a moderator:
We asali Kongosho waeza tupa taratibu za msiba? Kumfariji kwa pole za hapa si sawa na kumfariji Live na misura yetu. Hebu weka mwongozo tafazali kama hutajali.
 
Last edited by a moderator:
pole thana, remember nthng stnds still, this too will pass en be healed with time!
 
hujapenda?

Ila mtoto wa kambo kazi sana kulea.

Hahaha, mama wa kambo unanchekesha msibani. Tumekuachia sefuria zako kubwa uje kuosha, usisahau steelwire tafadhali.
Pole mwaya kwa kufiwa na baba mkwe, umfariji the boss akirudi awe na akili timamu
 
Pole sana Mkuu The Boss,

Nimeishiwa maneno ya kusema.

Mwenyezi Mungu muweza wa yote awape nguvu, ujasiri na faraja za kukabiliana na huu msiba, kwako wewe rafiki na familia yote. Pia ailaze roho ya mzee wetu mahali pema peponi, AMINA!
 
Last edited by a moderator:
We asali Kongosho waeza tupa taratibu za msiba? Kumfariji kwa pole za hapa si sawa na kumfariji Live na misura yetu. Hebu weka mwongozo tafazali kama hutajali.

Kweli kabisa, huyu Kongosho aje ajibu maswali ya wadau au pia aseme kama hana jibu.
 
Last edited by a moderator:
Paw, nataka kumripoti abyuzi mkeo, ananletea fujo kwenye huzuni.

Masufuria tu? Napiga ugali kabisa, si unajua tena msukuma mie kwa ugali?

Afu nina mpango wa kuku-dis-own hata utoto wa kambo hadi ukasomee adabu.
Hahaha, mama wa kambo unanchekesha msibani. Tumekuachia sefuria zako kubwa uje kuosha, usisahau steelwire tafadhali.
Pole mwaya kwa kufiwa na baba mkwe, umfariji the boss akirudi awe na akili timamu
 
Last edited by a moderator:
Pole sana The Boss
Mungu awape nguvu kipindi hiki kigumu cha uchungi!
Tuko pamoja kumuombea!
 
Last edited by a moderator:
Paw, nataka kumripoti abyuzi mkeo, ananletea fujo kwenye huzuni.

Masufuria tu? Napiga ugali kabisa, si unajua tena msukuma mie kwa ugali?

Afu nina mpango wa kuku-dis-own hata utoto wa kambo hadi ukasomee adabu.

Kongosho achana nae ni bange zinamzingua tu huyu King'asti
We endelea kumfariji mfiwa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom