The Boss, Sorry for your loss...

The Boss, Sorry for your loss...

Pole sana The Boss. Mungu akupe ujasiri katika kipindi hiki kigumu. Pole kwa familia pia. RIP Marehemu.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu The Boss

Mungu akupe moyo wa uvumilivu na subira katika kipindi hiki kigumu sana kwako.

Twamuombea alale pema peponi.
 
Last edited by a moderator:
The Boss pole sana mkuu kumpoteza baba. Mwenyezi Mungu akupe ujasiri katika kipindi hiki kigumu. Najua inavyouma kumpoteza umpendaye. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi apumzike kwa amani yake.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana The Boss kwa kufiwa na mpendwa baba yako. Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.

Kongosho tupe info huenda tukaweza kushiriki msibani.
 
oooh pole sana the Boss Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe
 
Pole sana The Boss, Mungu akupe Nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mzazi wako
 
Last edited by a moderator:
Pole The Boss. May God rest his soul in eternal peace.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mwenyezi Mungu akupe nguvu na ujasiri katika kipindi hiki kigumu kwako The Boss
 
Last edited by a moderator:
Pole sana The Boss,kazi ya Mungu!

Mungu Ailaze Roho ya Maherehemu mahali Pema Peponi,Amen

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pole sana rafiki.
This world is not our home we're just passing through.
 
soo sad!
am real sorry man.
may GOD give you strength kulishinda hili na am sure even this will pass.
pole sana mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom