Nakumbuka nilipompoteza Baba yangu mpenzi,it was very very painfull.
"
Na wakati huo alikua ndo mzazg wangu pekee alienilea kwani mama yangu hakunilea kwa kuwa alinikimbia kisa alipata bwana mwingine tofauti na baba.
"
Kumpoteza baba yangu kulimaanisha hasara kubwa,nilijipa moyo.Nimesema haya kumpa moyo ndugu yangu
The Boss,usijali,maisha wakati mwingine yana maumivu na changamoto ambazo hatuwezi kuzibadili,hatuna jinsi zaidi ya kuzikubali.
"
The Boss ,pole sana,najua sana maumivu uliyonayo,nakupa pole na Mungu akupe nguvu.
"
Stay strong!