The Boss, Sorry for your loss...

The Boss, Sorry for your loss...

Pole sana The Boss!

Mungu awape moyo wa uvumilivu wafiwa wote, kazi ya Mungu haina makosa, yeye mbele sisi nyuma yake.


RIP baba The Boss.
 
Last edited by a moderator:
The Boss, pole sana.
Mungu na akupe nguvu,zaidi ya yote mshukuru kwa
siku alizo kuruhusu kuishi nae hapa duniani.
Safari ni moja
 
Last edited by a moderator:
hujapenda?

Ila mtoto wa kambo kazi sana kulea.

nashangaa anapost huku wakati mie niko busy nampikia mama mkwe wake! The boss, pole kwa kufiwa. Ila ukirudi tafuta mke mpya.
 
Pole sana The Boss. Mungu amempenda zaidi, hatuna budi kumshukuru kwa yote. Time heal my friend. God will help you overcome this.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana The Boss! To lose a parent is the biggest treasure a man loses.
 
Last edited by a moderator:
my deepest condolences to The Boss and his family. Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu boss pole sana kwa msiba mkubwa uliowafika. Namuomba Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu kwenu na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom