The bold: Kuhusu Mtoto wa Flora

The bold: Kuhusu Mtoto wa Flora

Status
Not open for further replies.
Wtf!get life dude,yaani sisi tukae tunasubiri kujadili uzinzi wenu.?
 
Habari wakuu,

kitambo kidogo nimekuwa kimya sana kutokana na sababu kadhaa zilizo nje ya uwezo wangu.!
nafahamu wengi mnashauku ya kutaka kujua ukweli juu ya mtoto wa Florah na kama kuna uhusika wowote wa "mzee wa chopa", na pia nini kinachoendelea nyuma ya pazia kati ya Emma VS Florah, Emma VS "mzee wa chopa", na Florah VS "mzee wa chopa".!!

Naomba niseme kuwa kuna masuala ya kisheria ambayo kwa sasa yananibana kutosema lolote au kuzungumzia juu ya masuala hayo hadharani au kwenye media! changamoto hii imetokea baada ya zile nyundo nilizoshusha kipindi kile, kuna mambo mengi sana hasa yahusuyo sheria yalitokea ambayo sina uhuru wa kuyazungumzia hapa kutokana na terms za hayo makubaliano..

kwa ufupi naomba niseme hayo tu ili nisije kunogewa nikavuka mipaka! ila naomba mfahamu kuwa TUKO PAMOJA, na muda muafaka ukifika mambo yakikaa vizuri, "ntamwaga mchele" wote..!!

Mbarikiwe sana.

THe Bold

Sasa kulikuwa na umuhimu gani wa kuposti?
 
just put yourself in their shoes,ungependa na wewe...lijitu lisambaze ukuda on your bitter divorce?:shocked:
 
Unajitafutia umaarufu tu Mr wewe sio mbasha wala nn...... Watakuamini wajinga wenzako
 
....na wewe ni nani katika hiyo hekaya?
 
Habari wakuu,

kitambo kidogo nimekuwa kimya sana kutokana na sababu kadhaa zilizo nje ya uwezo wangu.!
nafahamu wengi mnashauku ya kutaka kujua ukweli juu ya mtoto wa Florah na kama kuna uhusika wowote wa "mzee wa chopa", na pia nini kinachoendelea nyuma ya pazia kati ya Emma VS Florah, Emma VS "mzee wa chopa", na Florah VS "mzee wa chopa".!!

Naomba niseme kuwa kuna masuala ya kisheria ambayo kwa sasa yananibana kutosema lolote au kuzungumzia juu ya masuala hayo hadharani au kwenye media! changamoto hii imetokea baada ya zile nyundo nilizoshusha kipindi kile, kuna mambo mengi sana hasa yahusuyo sheria yalitokea ambayo sina uhuru wa kuyazungumzia hapa kutokana na terms za hayo makubaliano..

kwa ufupi naomba niseme hayo tu ili nisije kunogewa nikavuka mipaka! ila naomba mfahamu kuwa TUKO PAMOJA, na muda muafaka ukifika mambo yakikaa vizuri, "ntamwaga mchele" wote..!!

Mbarikiwe sana.

THe Bold
Hauna lolote ; Kwani ungekuwa nalo ungeweka hapa hata kwa ID nyingine
Labda wajinga tu ndo watakuamini tena !!
Wewe endelea na uzinzi na kale kabinti ka chuo ulikosema umejificha nako!!
 
Ila mkuu maswala ya sheria na JF wapi na wapi hili ni jukwaa huru tiririka kadiri uwezavyo
 
The Bold Hebu Shusha Nondo Ndugu Yangu Tufaidike,hili Ni Jukwaa Huru Hakuna Wa Kukuhoji,achana Na Wajingajinga Kama rosemarie Kama Aliona Si Sehemu Ya Maana Kilichompa Nyege Hadi Akaamua Kufungua Na Kusoma Ni Nini? Leta Mambo Hapa Wala Usiogope,humu Hata Jambo Likiwa Mahakamani Huwa Linaandikwa Tu.
 
Mnanifuraisha kwa kweli hivi ule wimbo wenu wa ADUI YAKO NDIE RAFIKI YAKO mbona hajauzingatia?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom